Imeamua na inatekeleza

Imeamua na inatekeleza

cheupedawa_

Member
Joined
Aug 12, 2019
Posts
20
Reaction score
16
1.PNG
2.PNG
3.PNG
4.PNG
 
Kwa nyakati hizi usishangae mabasi yote ya barabara ya mwanza, mbeya yakaambiwa marufuku kufika Dar, tukutane moro, yaani train ....Dar mpka Moro.... ukishuka ndio unachukua basi lako au unapanda train kufika Dar!

Kwa kifupi wote tutafaidi na kuchangia hiyo speed ya kuwahi Moro.

Moro Dom ikikamilika tunawapiga pini tena, pia train ni salama zaidi kuliko basi.
 
Back
Top Bottom