Recent content by CHETTA

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    It is just the last kicks of the dying hyena.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Sheria ya makosa ya mtandao ni kupigana na ukuta, lazima utafeli tu

    Sasa utamkamata nani wakati majina mengi kwenye mitandao ni majina ya bandiaa????????????????????
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Ochard ya WARSO, Kipalapala, isukamahela,Kaze Hill,kwihara,national Housing, mwl makweta,kimalamashwi,mikomangwa,kanyabwoya,nkumba,kongela,Sambala,Mageni(Mamba), Lujuo,Kanijo,LUENA, Shendu yuko Dodoma,Pambe,Masele,Kansimba,Madafu,mwandu,Chambo,Matata,Mgumba,Rohobadi,Ntonge,Dr...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Kauli zake zitamponza. Eti wengine wamesomea digrii za usanii. Je hao hatawaomba kura wampigie?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura

    Wazo zuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.wahusika wote walizingatie.mawakala wote wapewe semina ili kuzingatia yote hayo yanafanyoka.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Lakini pia amesema kuwa wasomi wote waliosoma masomo ya Arts na wasanii mbalimbali, hawana maana, mfano, BA Education, BA General,na MASOMO YOTE YA ARTS.Kwamba watu hao kila jambo wanalifanya kimaigizo tu.Wasanii sijui wanajisikiaje!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kweli pesa tamu, Gazeti la Raia Mwema siamini kama mmeiacha njia Kuu, mnasikitisha sana

    Usipoteze pesa yako kununua magazeti ya Raia Mwema,na Raia Tanzania ,yote hayo yapo kwa ajili ya kuwachafua UKAWA,hawaandiki chochote zaidi ya kuwachafua viongozi wa UKAWA nA HASA MGOMBEA WA ukawa.Hakika pesa za kuhongwa zimeshusha hadhi na credibility za magazeti hayo.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

    HIVI HUMU JF KUNA MTU ASIYEJUA KUWA MAGAZETI YA JENERALI ULIMWENGU YOTE YAMEKODISHWA NA CCM? HAYANA TOFAUTI NA GAZETI LA UHURU. UNUNUE USINUNUE WAO HAWANA HASARA MAANA WANALIPWA INDIRECTLY KWA MKATABA MAALUM MPAKA NOVEMBER,2015, BAADA YA UCHAGUZI KUISHA.:majani7:
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Gerald Hando wa Clouds FM awe makini na maneno yake ya kudhalilisha watu

    Weka picha tafadhali, wengine hatumjui.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Lowasa analipiza Kisasi tu na si vinginevyo!

    Nawapongeza sana watanzania kwa kuwa na uelewa wa kutosha zama hizi, yaani mtu akiandika vitu vya uzushi kuhusu Lowassa wanamubehua mapemaaaaaaaaaa.:dance:
  11. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa alirudisha kadi ya CCM?

    Maswali mengine ni ya kitoto, je na wale walioamua kuzichoma kadi za CCM unawaongeleaje? Kama Lowassa kaamua kuichoma kama takataka ulitaka mpaka akualike ili ushuhudie?????????????????????:majani7:
  12. C

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Jamani, hivi hamjui idadi ya watu katika visiwa vya pemba na zanzibar? Kule kuna watu laki nane tu, hao ni pamoja na walioko safari sehemu mbalimbali duniani.Huwezi linganisha na bara ambako kuna watu zaidi ya miliono 45,000,000.Hivyo kwa uwiano kati ya Bara na Zanzibar, hayo ni mafuriko makubwa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    ndugu wana ukawa wapendwa, kumbukeni,yaliyotokea nchini kenya, raila odinga alikuwa na mikutano mikubwa kwenye kampeni zake, lakini uhuru akamzidi ujanja kwa kumuibia kura 500,000.je, ninyi hayatawakuta yaliyomkuta raila odinga? Jipangeni sawasawa!
  14. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Ndugu wana ukawa wapendwa, kumbukeni,yaliyotokea nchini kenya, raila odinga alikuwa na mikutano mikubwa kwenye kampeni zake, lakini uhuru akamzidi ujanja kwa kumuibia kura 500,000.je, ninyi hayatawakuta yaliyomkuta raila odinga? Jipangeni sawasawa!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kijana msomi na mchumi, David Dyoya kuling'oa jimbo la Kasulu Mjini

    Kijana........................MZEE???????????????????????????????????????????:A S confused:
Back
Top Bottom