Recent content by Cherishable

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mnatuchukua vijana kutulimisha JKT, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu

    Na ajira zikitoka wanahitaji umri mdogo. wanakosa vigezo sababu ya kukaa sana mtaani
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sehemu Tanzania umeme huwa haukatiki?

    Sumbawanga ni nadra kukatika
  3. C

    JamiiForums Tanzania Je, una Maoni/Ushauri kuhusu Jambo au Utaratibu unaotamani ubadilike katika kuboresha Sekta ya Afya Nchini?

    Mifumo ya tehama iwepo kuanzia ngazi ya zahanati, inayounganisha ngazi zote za vituo vya huduma za afya nchi nzima, kurahisisha upatikaji wa taarifa za wagonjwa, pia wataalamu wa kuisimamia waajiriwe.
  4. C

    JamiiForums Tanzania JWTZ na Serikali waache kudanganya/Kuhadaa Vijana

    Kwenye umri hapo sijui wamewaza nini, jkt mtu mwenye shahada akijiunga na miaka 25, anatumikia jeshi kwa zaidi ya miaka miwili, bado anakaa uraiani mda mrefu, angalau wangesema miaka 30, lakini nayo pia hio kama hana mbanga kutoboa ni nadra..
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya mambo ya ndani iwaangalie graduates kwa jicho la huruma

    Waangaliwe na wawezeshwe, na swala la umri lizingatiwe, wengine ni 30+, kigezo cha umri kizingatiwe
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakumbuke vijana waliomaliza Mkataba JKT, Mirerani

    Wakumbukwe kwa kweli
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi Suma JKT ajiua kwa kujipiga risasi shingoni

    Msongo wa mawazo
Back
Top Bottom