Ninachojua kiongozi yeyote Anatakiwa kuonesha njia. Aya ya mwisho katika tangazo lako inachekesha na kushangaza. Halmashauri imejenga nyumba za wakuu wa idara kwa gharama ya zaidi ya 240M. Tena ya kuishi wewe DED na furniture ukawekewa, wewe mbona HUISHI PALE? Nyumba zimechakaa Ziko katikati ya...
Kufuatia Kuombea Mh.Rais kuangalia halmashauri husika,Watumishi wanatishiwa na kufuata a fuatwa Kwa vitisho hii Yote Ni kuwafanya wasiwe na Amani katika sehemu zao za kazi.
Na napenda kuuliza Kama ofisi ya Mkuu wa wilaya Kama haina budget ya mafuta kwani
Kila siku Mkuu wa wilaya yuko Kwa ofisi...
Tinashukuru sana Rais wetu kwa utendaji wako wa kazi.wakati wewe unakazana kutumbua majipu vipo vijipu chungu vingi sana hasa katika halmashauri nyingi.tunaomba uangalie kwa makini hasa halmashauri ya Nsimbo katika mkoa wa katavi.hasa kwa haya yafuatayo:
1. DED anafuja pesa za umma na kuwanyima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.