DED nsimbo ongoza kwa mfano

chengelai

Member
Feb 10, 2016
7
0
image.jpg
 
Ninachojua kiongozi yeyote Anatakiwa kuonesha njia. Aya ya mwisho katika tangazo lako inachekesha na kushangaza. Halmashauri imejenga nyumba za wakuu wa idara kwa gharama ya zaidi ya 240M. Tena ya kuishi wewe DED na furniture ukawekewa, wewe mbona HUISHI PALE? Nyumba zimechakaa Ziko katikati ya pori na umeanza kufanya usafi baada ya kusikia RC atafanya ziara ofisini kwako. Acha unafiki toka lini ulikuwa na dhamana ya kusafirisha watumishi? Mbona watumishi tunatumia hiace kwa gharama zetu?Au unataka RC ajue unafanya kazi? Nashangaa umeanza na mchakato wa kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi ilhali zilizopo hazitumiki. Kama sio kutafuta Namna bora ya kuiba pesa ni nini?. Ungesema katika tangazo lako kuwa ni marufuku gari lisimchukue Afisa Utumishi ungeeleweka. Maana yeye ndio kila Siku gari humfuata nyumbani na kumrudisha.

Fanya kazi za kuhudumia jamii zaidi, Jiulize umefanya vitu vingapi ukijilinganisha na wenzio? Acha kuhangaika na DAGAA Kama ulivyowaita Siku wamepanda magari yako machakavu ambayo nawe umerithi. Umenunua gari kwa miaka miwili uliyokaa madarakani?
 
hivi vijihalmahsauri ni vya kufuta tu kwanza havina uwezo wa kukusanya mapato ni vitegemezi tu
 
Kifupi DED hatoshi, anaishi kwa kubebwa na dc na Kamati yake ya ulinzi na usalama. Kwani Hawajui Kama zile nyumba hazikaliwi na watumishi, tena wakuu wa idara! Analala zile nyumba Siku Akita na mchepuko wake maarufu aliouhamishia shule jirani na ni mwalimu mkuu. Leo hii watumishi wa Halmashauri wamekuwa Kama wafungwa. Wameamrishwa kufanya usafi kwenye nyumba hizo ikiwa ni maandalizi ya mapokezi ya RC. Badala ya kutoa huduma kwa wananchi wanasafisha nyumba za wakuu wa idara. Hili ni jeshi la magereza sio Halmashauri...
 
Back
Top Bottom