Recent content by Chemwali

  1. C

    Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    Hata MI nimemkubali alivyoongea..ana uelewa wa hali ya juu na piaana ustaarabu haswa...na pia anaonekana ana nidhamu mno
  2. C

    Karibu kwenye ujasiriamali

    nipm with ur no
  3. C

    Karibu kwenye ujasiriamali

    HUtapata Picha kamili cause nimeiweka separate,,mashine nimeihifadhi kwenye safe place ...maiskeli nimeiweka stoo nje..vioo vya fremu nimeweka stoo...gas nimeiweka jikoni inatumika,,,ndiyo maana nasema kwa sliye serious tuwasiliane nitauelewa usirias wake pale tutapoongea
  4. C

    Karibu kwenye ujasiriamali

    OOh POle nimeandika kwa haraka.Vyovyote itakavyokuwa kama ni partnership au kuiuza cause sipendi ikae iddle..tho partnership ningeipenda zaidi
  5. C

    Karibu kwenye ujasiriamali

    Habari wandugu, NIna mashine ya kutengeneza Popocorns...ni ya Gesi,,mpya iliwahi tumika kwa majaribio tu.Nilinunua some months ago mpya ina manual na receipt yake..my intention was niwe naifanyia biashara kwenye sehemu za michezo ya watoto nk..Bahati mbaya nikakosa kijana niliyemtaraji na bahati...
  6. C

    Naomba mwongozo..nahitaji cheti changu

    thanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?
  7. C

    Naomba mwongozo..nahitaji cheti changu

    Wadau ...kufuatia huu mhemko wa vyeti nami inanilazimu nikifatilie cheti changu cha kidato cha sita cha mwaka 2003.nilisoma huko Mkoani Mbeya tho mi ni mkazi wa Dar kule nilienda kielimu tu..baada ya kumaliza shule nilichukuaga tu Result slp ambapo niliendelea na elimu za juu ..na kuajiriwa kwa...
  8. C

    Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

    Asante lakini ilinibidi nimjibu kila mtu aliyepoteza muda wake kunijibu zamu yako ilikuwa haijafika
  9. C

    Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

    inanisave inakaa sana na charg na pia samsung yangu imekata display so nw techno hii ndo inaniokoa....sina hela kama wewe
  10. C

    Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

    ndipo nilipoingia but inaishia njiani havitaki kudownload
  11. C

    Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

    sijaelewa well mkuu(Osaba) hiyo yakudownload kwa computer
  12. C

    Msaada: WhatsApp imegoma kwenye simu yangu aina ya Tecno

    Naomba usaidizi ... Simu yangu ya TEcno Model BL 4-E iliangushwa na mtoto, baada ya hapo ikagoma kushow any maandishi zaidi ya neno Tecno ukiiwasha... Then inaagiza ufanye sijui configuration settings upya. Nikafanya hivyo kwa kuiunganisha kwa laptop then nikaireset... Sasa ikawaka tho...
  13. C

    Ajira KK Security

    habari wadau mdogo wangu kaitwa kwnye interview KK security upande wa Sales and Marketing...naomba mwenye info zozote ziweze kumsaidia ...na je vipi salary range zao as anatokea mkoa mwingine
  14. C

    Nimetumiwa email ya kazi na hili shirika, The Global warming Policy Fund (GWPF)

    nimeshastuka kaka nilishaamua kuwashit mapemaaaa
Back
Top Bottom