Wadau ...kufuatia huu mhemko wa vyeti nami inanilazimu nikifatilie cheti changu cha kidato cha sita cha mwaka 2003.nilisoma huko Mkoani Mbeya tho mi ni mkazi wa Dar kule nilienda kielimu tu..baada ya kumaliza shule nilichukuaga tu Result slp ambapo niliendelea na elimu za juu ..na kuajiriwa kwa kutumia result slp kama cheti cha kidato cha sita..cha form four na vyuoni ninavyo.so kwa miaka hii ilivyopita natakiwa kuanzia wapi?