Hivi tutapingana na Mungu mpaka lini.Wanadamu walipojenga mnara wa Babeli kwa nia ya kumfikia Mungu walisambaratishwa.Ikumbukwe kwamba kuzeeka ni mpango wa Mungu,na ni Mungu huyo huyo aliyesema kwamba miaka ya mwanadamu itakuwa 120 tu.Hili wanalotaka kufanya wanadamu ni jambo la hatari mno na...
Mayalla vipi sasa?Hivi umeshindwa kabisa kuona kwamba a responsible President hata kama kikatiba anaruhusiwa kuteua kihiyo hateui kihiyo for the simple reason that he wants good output.Kinachoendelea sasa kwa Rais wetu kinaonyesha kwamba something is amiss.Kuna kitu hakipo sawa.
Broken English uliyotumia kwenye title ya bandiko lako imeni-put off kiasi kwamba nimeshindwa hata kulisoma!Ukimnyoshea mwenzio kidole,kumbuka kwamba vidole vinne vimekugeukia wewe mwenyewe.
Mimi sisubiri kufukuzwa,nimejiengua CCM.Siwezi kuendelea kuvumilia udhalilishaji huu Makonda anaofanyia chama.Lakini hasa what is so special with Makonda mpaka akingiwe kifua kiasi hicho?Sielewi.
Mkuu bandiko lako kwa kiasi fulani limedhalilisha wasomi wa TLS.Kusema kwamba wasomi wa TLS "wametekwa" na Lisu ni kuwakosea heshima,ni kuwashushia hadhi.Ume-imply kwamba wao hawawezi kufikiri vizuri,kwa hiyo Lisu ametumia ufahamu wake mkubwa ambao wao hawana kuwafanya wamchague. Kwa maana...
Kama hili tukio ni kweli na JPM hatachukua hatua yeyote,ndoa yangu na Chama cha Mapinduzi itakuwa imevunjwa rasmi.Itakuwa ni unafiki kui-support CCM au Magufuli for that matter.
Sina objection na Tanzania kupeleka madaktari Kenya kama usalama utakuwepo,which is very doubtful.Worry yangu nyingine is their competence.Wengi wa graduates wetu Kingereza ni shida.Nakaa nawaza, itakuwaje?Halafu degree nazo wanapata kwa kuhonga waalimu by any means possible,iwe mvulana au...
Ni mapema mno kufurahi.Kama madaktari wenyewe ni wale wa kuhonga lecturers ili wapewe marks za bure tuta aibika.Msisahau kwamba ajira hizo hazitakuwa automatic,there is a qualifying examination.Na kwa jinsi graduates wetu wa siku hizi ninavyowajua,tutaaibika.
Huyu jamaa ni tapeli sana ngoja wamshuhulikie.Amewatapeli wananchi eneo kubwa sana kule Gezaulole ambalo sasa ni pori wala haliendelezwi.Kaitapeli serikali kinu kikubwa sana cha kukobolea mpunga kule Dakawa Morogoro ambacho mpaka sasa ni white Elephant.Kawatapeli CCM eneo pale Lumumba na kujenga...
Msukuma anajitafutia shida,eti atakwenda kuongea na "watoto wake" ili iweje.Nadhani anapaswa kujitathmini asije akaishia kula maneno yake.Huyu kijana ana vituko sana,nadhani kuna haja ya kumdhibiti ili ajue kwamba ipo serikali iliyoko madarakani.Kuwa mbunge haimfanyi mtu afanye mambo...
Nimekubali mengi uliyoongea mkuu.Ila ukweli unabaki kwambaa na yeye sio msafi kwa kuwa alifoji vyeti na kutumia jina la mtu mwingine.Hili katika discussion yako yote hujaligusia kabisa ,sijui ni kwa makusudi au umepitiwa.Halafu pia hatumii hekima na busara katika maamuzi yake.Hili linamfanya awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.