Sure, upo sahihi kabisa. Pia , kuna wakati huwa tunajihesabia "Haki" kumbe tu wakosaji mbele za M/ Mungu.
Wakati maingine tunasahau kuwa maneno yetu ni chanzo cha dhambi.
Dhambi sio matendo tu, hata maneno yako yanaweza kusababisha dhambi. Ni kweli labda hukuenda kwa mtaalamu kumfanyizia ex wako lakini "maneno yako " uiliyotamka juu yake ndiyo yaliyopelekea yeye kupata laana / mikosi hiyo.
Hivyo, wewe pamoja na yeye mlipswa kufanya toba juu ya yote yaliyopita...
Nilishawahi shuhudia tukio la kushikiwa Panga kwa rafiki Yangu. Dada yake alizalishwa na mwanaume ambaye ni wa kawaida tu. Huyo Dada alikuwa na kazi nzuri tu , japo jamaa alikuwa wa kawaida. Siku jamaa anakuja home kumuona mtoto bila hata taarifa rasmi ...mama mtu alipopata taarifa akasema huyo...
1.Wengi wanaomba hela walishawahi kuwa na mahusiano na wanaume ambao walikuwa wakiwapa hela
II. Wanaiga kutoka kwa marafiki zao ambao wakiomba hela kwa wapenzi wao wanapewa!!!!
umejaribu kuongea na Accademic Supervisor wako? au mlikuwa kama chui na paka? Fanya hivyo naamini atakuwa msaada kwako! ila jaribu kutuliza akili kabla ya kufanya Msc.
Hapana, inategemea na mazingira unayomkuza mtoto wako! Dada yangu ni Doctor, mtoto wake anajua mtu akifa anakuwaje! Na mimi ndiyo niliprove hilo kwa kumhoji.
Mtoto anaweza kukutana na hayo maneno shuleni. Mtoto wako anapotoka shule uwe na tabia ya kumhoji alichofundishwa na utapata kujua mengi...
Kuna College Moja, Prof alitoa no. akasema mtu akiulizia matokeo yake atweza kumtajia. Hiyo ilikuwa mwaka jana 2nd sem wakati wanaudom wengine wapo field. Kilichotokea ni kuwa mtu katajiwa marks na Prof. kuwa ana B tarehe za kufungua chuo zinakaribia mtu anapata taarifa kutoka kwa kiongozi kuwa...
Mkuu Dreadnought nashukuru kwa majibu yako, umekuwa very open, humble & polite much thanks. Ningependa kufahamu, upo college gani na mwaka wa ngapi, kama utakuwa radhi ni PM tu. Nimekuuliza hivyo sababu nataka kufahamu experince yako kwenye hiyo changamo hapo chuo, pengine shida ipo kwa...
kijimsela@
Mkuu O'level umesoma Additional Maths? Pamoja na hayo kama unadhamira ya kusoma hesabu chuo kikuu ni better usome tu hiyo Advanced Maths ya A'level. Maana nafikiri itakusaidia sana huko mbeleni kwenye field yako.Pia utakapo soma Adv.maths itakuongezea uwezo wako wa kusolve maths...
Ed n Edd nEddy @
Nafikiri kuna kitu alitaka kueleza ila amaeshindwa na badala yake ame-pollute uzi wake kwa kuingiza mambo ambayo ni non-academic. But, honestly udom kuna issues zinahitaji kushughulikiwa check post yangu #150.Habari ya kuongezewa marks na kutofelisha wanafunzi hilo sina ushahidi...
Dreadnought @
Mtoa mada nahisi sio mwanachuo na ameelezwa hayo mambo na mtu ambaye pengine kadisco hapo UDOM. Anyway, mimi sijasoma hapo ila kwenye suala la Matokeo ya wanafunzi kuna shida kubwa sana. Mfumo wa matokeo hapo ni mbovu sana na unahitaji marekebisho makubwa sana ukilinganisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.