Recent content by chekx

  1. C

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Na wewe ulifaulu kwa uandishi Huu[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Nikiwe anaendelea kusikiliza cm ya Rose(Mtumishi wa ndani wa Nikiwe aliyekua anamuwekea sumu ili awe anaweweseka kusudi Franki) iliyopigwa na Nina akimwambia asimtaje. Nikiwe anampigia cm koth na kumwambia sio Ben aliyekua anamuwekea madawa ball ni Nina, ila anaenda kumkomesha. Koth...
  3. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Leo nitawaadhia isidingo ya wiki nzima
  4. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Asiye funzwa na babaye hufunzwa na ulimwengu
  5. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ahsante Numbisa
  6. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Umeua Numbisa
  7. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Angie nae anakifurush cha Min kabang
  8. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Thanks Numbisa
  9. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Sio kweli Angie alidate na Dr ambae alikua black. Rajesh aliwah date na secretary ambae ni black, Dereck alikua black alikua anadate na Philippa. Na Rajesha atakuja kuwa na Khotha
  10. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ilikimbia baaada ya Mshtakiwa namba moja katika kesi ya mauaji ya baba yake Ben kuwa Mama yake Ben, maaan yule Mzee alifia kwenye Basement ya nyumba aliyokua anakaaa na Mama Ben kabla hajamuoa Cherel. Kwa hy Ben na Kaka yake wakawatorosha.
  11. C

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Yaaan Gab kapewa lift anataka kupiga na honi
  12. C

    Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Mwambie aaache kutumia mtori, kama alikua anatumia baaada ya uzazi, maaan ndizi xinasifika kwa kuongeza maji
  13. C

    Aslay na Nandy kupelekwa Mahakamani

    HV MTU akidai chake ni dhambi!??? Maaan wasanii ni wazur Wa Lusaka hati miliki, inakuaje wanaibia wasanii wenzao, au hy hati miliki ni ya vijana tu wazee haiwahusu
  14. C

    Aslay na Nandy kupelekwa Mahakamani

    Haya Mke Wa Ruge kamwingiza mkenge mwenzie, maaan Aslay anajua kuimba na kutunga , na Nandi kazid hata za Ray C anaziiimbaga jukwaani
Back
Top Bottom