Recent content by ChekoFagia

  1. ChekoFagia

    Ndele: CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu

    “CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu”Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa NEC Mkoa Wa Mbeya Mwaselela Ndele. Video: Mbali TV
  2. ChekoFagia

    Lipumba: Inatisha majaji wa mahakama kuu kwa shinikilizo la CCM wanaeleza Uongo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Tume ya Uchaguzi ilieleza kuwa kati ya wapiga kura walioandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura wapatao milioni 37, kati yao milioni 32 walijitokeza kupiga kura, jambo ambalo amelieleza kuwa ni uongo wa wazi...
  3. ChekoFagia

    Uber yasitisha rasmi huduma zake Tanzania kuanzia Januari 30, 2026

    Kampuni ya teknolojia ya kimataifa, Uber, imetangaza kusitisha rasmi huduma zake nchini Tanzania kuanzia Januari 30, 2026. Uber, ambayo inajulikana kwa kutoa huduma za kuunganisha abiria wanaohitaji usafiri na madereva kupitia programu ya simu, pamoja na huduma za uwasilishaji wa chakula (Uber...
  4. ChekoFagia

    Kuna mdada nafanya naye kazi ofisi moja, nampenda lakini naogopa kumwambia — nifanye nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa. Kwa mwanzo...
  5. ChekoFagia

    Januari 28 Siku ya Faragha ya Taarifa duniani

    Kabla ya kubonyeza 'Kukubali' (Accept), hakikisha unasoma na kuelewa Sera ya Faragha (Privacy Policy) ili ujue jinsi taarifa zako binafsi zinavyokusanywa, kuchakatwa na kutumika.
  6. ChekoFagia

    RC Makame ashtukiza mpaka wa Tunduma 'Sijaridhika'

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndugu Jabiri Makame, amefanya ziara ya kushtukiza katika Mpaka wa Tunduma kukagua utekelezaji wa Maagizo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba kuhusu upanuzi wa barabara ya kuelekea Mpaka wa Tanzania na Zambia kwa njia nne ili...
  7. ChekoFagia

    Mbowe: Msitoke serikali mkafikiri CHADEMA ni wakorofi sio wakorofi, wameonewa

    Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kelele za chama hicho si kwa sababu ya ubinafsi wa madaraka, bali wanataka kuijenga nchi pamoja.
  8. ChekoFagia

    Polisi wakamata basi (Kidia One Express) ya Kitanzania ikisafirisha bangi yenye thamani ya Tsh. 49 milioni kuelekea Nairobi kupitia Namanga

    Timu ya mashirika mbalimbali imekamata basi linaloelekea Kenya kutoka Tanzania lililokuwa limebeba bangi yenye thamani ya takriban (Shilingi milioni 2.5 za Kenya) sawa na Tsh. 49 Milioni katika Kituo cha mpaka cha Namanga. Kulingana na Mamlaka ya Upelelezi wa Makosa (DCI), basi hilo lililofanya...
  9. ChekoFagia

    Je, kwanini wananawake wamekuwa wakijitokeza kwa wingi zaidi katika mikutano ya CCM?

    Wakuu Je, wingi wa wanawake katika mikutano ya CCM unaakisi nguvu ya mtandao wa uhamasishaji kupitia jumuiya na vikundi vya kijamii, mvuto wa ajenda zinazogusa maisha ya kila siku kama huduma za jamii na fursa za kiuchumi, au athari za motisha na mazingira ya ushawishi wa kijamii maswali...
  10. ChekoFagia

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC): Wanaosambaza taarifa binafsi za watu bila ridhaa yao kuchukuliwa hatua za kisheria

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imesema kuwa mtu au taasisi yoyote itakayobainika kukiuka faragha au kutumia taarifa binafsi bila ridhaa ya muhusika au kinyume na taratibu zilizowekwa kisheria, itawajibishwa ipasavyo bila kujali hadhi au ukubwa wake. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar...
  11. ChekoFagia

    Kihongosi: Wanaohoji kwanini nazunguka mikoani 'ni wajibu wangu'

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa kuna watu wanaohoji sababu za yeye kutembelea mikoa mbalimbali nchini, akasisitiza kuwa jukumu hilo lipo wazi kikatiba. Akihutubia wananchi wa Ikungi, Kata ya Puma, Mkoani Singida leo Januari 22, 2026, amesisitiza...
  12. ChekoFagia

    Tume ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 yakutana na vyama vya siasa nchini

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. - Mkutano huo wa Tume na viongozi wa vyama vya siasa nchini umefanyika katika Ukumbi wa Tanganyika...
  13. ChekoFagia

    Ni chakula gani ungekula kila siku bila kuchoka?

    Mdau, kila mtu ana chakula anachokipenda sana. Kwa mfano, mimi naweza kula kande kila siku bila kuchoka. Wewe je?
Back
Top Bottom