Recent content by Cheki Bobu

  1. Cheki Bobu

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    S Siasa ni maisha halisi Mzee baba!! Kwa upande mwingine siasa ni kazi kama zilivyo kazi nyingine tu. Alafu kwenye hili jukwaa umefuata nn? Stupid.
  2. Cheki Bobu

    Rais Magufuli: Ole wake atakayeandamana, kama kuna baba zao wanawatuma, watakwenda kuwasimulia vizuri

    Ila huyu mzee anavyo itaja katiba utadhani anaiheshimu vile!! Kila nikimsikiliza huyu mzee, naona jinsi Kikwete alivyo kabidhi Nchi vibaya, kwa kulea makundi na yaliyosababisha Embe kudondoka kwenye mnazi. Mr. Kikwete hajaacha Legacy yeyote kwenye taifa. Nafasi pekee aliyokuwa nayo ni kuiachia...
  3. Cheki Bobu

    CHADEMA yasema haina imani na Polisi na Serikali sakata la Lissu, yataka wapelelezi huru kutoka nje

    Nimefwatilia hii press, nimeumia sana. Lakin inachochea ghadhabu kubwa moyoni mwangu. Mungu atuepushie mabaya ninayoyaona mbele yetu... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Cheki Bobu

    Jeshi la polisi linasubiri kuumbuliwa?

    Ahahha!! Kibashite Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Cheki Bobu

    GUMZO la Magufuli Uchaguzi Wa Kenya

    Stupidity Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Cheki Bobu

    Wabunge wa CCM waliopanga kumuona Lema gerezani waonywa, waitwa wasaliti

    Huu ni uchochezi wa hali ya juu! Na unapaswa kukemewa. Na kwambia Hii miaka 5 inapita bure kabisa.... Anaacha kuweka nguvu katika kuboresha maendeleo ya wananchi wake, badala yake anaweka nguvu kubwa kupambana na wanaomkosoa na kumpinga. Miaka hii miwili iliyopita ya utawala imeonyesha jinsi...
  7. Cheki Bobu

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Binafsi sipendi kuona biashara hii ikisikika inafanyika Nchini, Ila najua Mheshimiwa Makonda hajawahi kufanikiwa katika mambo mengi ambayo ameyaanzisha. Sasa ninauhakika hii shughuli imeshamshinda. Strategy anazozitumia ni za hovyo kabisa.... na ninaiona aibu itakayo kuwa kwake siku chache...
  8. Cheki Bobu

    Tundu Lissu ahojiwa Kituo cha kati kwa kutoa maneno ya Kichochezi ya Uwepo wa njaa nchini

    Njaa ipo! Kujua hilo huitaji hata kuwa muhitimu wa Shule ya Msingi, Mwezi uliopita nilienda kijijin kwetu nimekuta watu wanashindia maembe!! Chakula hakuna maji hakuna..
  9. Cheki Bobu

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Hawa necta sijui wanatumia server gani.... yaani ipo slow sana na ndio maana wengi wetu hapa tunashindwa ku access matokeo. Sijui watu wa computer wanafanya nini kuhusu hili.... Yaani ni bure kabisa......!!! Ni bora hata wangetumia tu Online server kuliko hii ya kwao....!!
  10. Cheki Bobu

    MSAADA: Namna ya kupata SABC channels bure

    Habari wakuu, Kwa muda mrefu nilikuwa nimekuwa nikitafuta namna ya kuzipata SABC (South Africa) channels bure. Nilichokijua ni kwamba SABC zilikuwa zikipatikana Bure kupitia satellite ya Intelsat 20 Ku (Zamani Panamsat 7/10). Sasa nimegundua kwamba hazipatikani tena... Naomba kujua naweza...
  11. Cheki Bobu

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Mbona watu wa Magufuli mnapanic!? Nyinyi subirini wakati tunaisoma namba.... Shida yeti sisi si Rais Bali ni namna Rais alivyopatikana.... Over
  12. Cheki Bobu

    Magufuli, agenda yako ya kwanza iwe kuunganisha watanzania

    CCM ni ileile, siwezi ficha chuki yangu Dhidi ya chama hiki na watu wake.... MTU wa CCM kwangu Mimi ni..... Kichefu chefu....
  13. Cheki Bobu

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Binge!!? Lipi hili ambalo CCM watakuwa wengi sahau kaka!!! Hapa tumebadili kanzu imam no yule yule
Back
Top Bottom