Angalizo lingine kwa mama,ukiona watu wote wabakusifia,wabakupenda na hata wapinzani sugu wa serikali ya CCM wanakuona u Bora kuwa ya kuwa waneona upenyo(udhaifu) wako.
Tuwe wakweli toka enzi za Mwl Nyerere,Mwinyi,Mkapa,na Magufuli,hatujawahi kuwa na urafiki,wa dhati na Kenya.Siku zote urafiki...
Gawio linalipwa kutokana na faRaida iliyopatokana.
Huwezi kufanya biashara alafu ujapata hasara ukalipa gawio,hiyo haiwekani,kwa maana nyingine utakuwa unakula mtaji na si gawio.
Hivi huwa mnakaa hata kidogo,kusikiliza mkuu wa nchi anaongea Nini,au ukisikia neno moja bila hata kutafakari mnakimbilia kupost.Mbona rais kasema.uwanja wa.ndege Dodoma uarakishwe kujengwa maana tokea awamu ya Kwanza ya awamu ya tano,uwanja huu ulitakiwa kuanza kujengwa?
Mkuu uwe unajua katiba inasemaje kuhusu nafasi ya waziri mkuu.
Kwa mujibu wa katiba waziri mkuu atateuliwa kutoka jibu la uchaguzi, na LAZIMA atokane na chama chenye wabunge wengi bungeni.
Hivyo ili Dr Bashiru awe waziri mkuu,ni LAZIMA Kwanza akagombee ubunge kwenye Jimbo la uchaguzi,kiisha...
Kipi? Funguka.
Hivi vingine pamoja na kupata mamilioni ya fedha za ruzuku waneshindwa sio tu kujenga ofisi ziendazo na hadhi ya chams,Bali hata kukarabati tu imeshindikana,wakikamata Dola wataweza kujenga nchi?
Waswahili tuna msemo dalili ya mvua ni mawingu.
Mkuu awamu sio miaka Ila awamu ni viongozi,huyu ws Sasa ni rais wa sits ,hivyo awamu ya Kwanza au rais wa Kwanza ni Mwl Nyerere,awamu ya pili au rais wa pili ni mzee Mwinyi,awamu ya tatu au rais wa tatu ni hayati Mkapa......
Mpaka unampata mama Samia,ni rais wa sits au awamu ya sits.
Mara zote CAG amekuwa akitoa taarifa ya hasara kwa ATCL, hakuna mwaka ambao CAG amewahi kusema kuwa wametengeneza faida.
Kuna tofauti kubwa Kati ya fedha za mauzo na hasara.
Hasara inatokana na vitu vingi,vijiwemo
1-Matumizi
2-Uchakavu.
Kwa mfano thamani ya ndege moja no Tshs 290,000,000 na...
Nakumbuka baba wa wa taifa mwalimu Nyerere
Baba wa Taifa mwalimu Nyerere,tukiomboleza kwa siku 30 yaani mwezi mmoja kamili,wewe hukuona kuwa mwezi ni mkubwa mno,Leo hii kwa sababu anayeombolezewa sio wako unaona siku 21 zinakuwa nyingi kuliko mwezi?Kweli?
Mkuu haupo haupo sahihi.Maswala ya dini,ni LAZIMA ubalance kwenye utawala.Tokea 1961 tunapata Uhuru.Tokea 1964 tunaungana HAIJAWAHI,dini moja kushika nafasi za juu zote.
Makamu wa raisi ajaye atatokana miongoni mwa Wana ccm ambaye ni LAZIMA atakuwa Mkristo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.