Mkuu mbona umejijibu mwenyewe, halafu ukaniuliza tena.? Sentensi yako ya kwanza hapo juu ni majibu ya swali lako kwenye hiyo paragraph yako, kwa hiyo hata wewe kumbe unafahamu kuongoza nchi sio kitu rahisi hasa ukiwa mzalendo.Nani aliweza kumpinga JPM na akabaki salama? Kina nani hao waliokuwa wanapinga uongozi wake na kwanini?
Kipi? Funguka.Hata mm nataman "Ncha" ifike.
Unajua siwapendi CCM kwa sababu tu ndogo wametawala toka 1961 lkn hamna kitu.
Nataman tuongozwe na chama kipya chenye Sera mpya .
Huyu mzee licha ya sifa nyingi ila kuna sehemu alikosea sana na kupwaya vibaya sana hasa kwenye kuunda taasisi.Nyereere alifanikiwa sana 100% kuishikanisha Dola na CCM
Yaani CCM ndio Polis, Majesh, Usalama n.k
Kuiondoa CCM madarakan nisawa umeondoa Dola n.k. Kazi ambayo ni Ngumu mnooooo mnooooooo.
Mbona unawahukumu wapinzan kwa kosa ambalo kwanza ni la kimkakat ivyo ivyo ni kosa ambalo litabak kuwa doa lkn ni funzo ,na pia kutoka sehem moja ukaenda upande wa pil ukapewa dhamana ata ccm wanafanya sana ,na kubwa zaid hawa wengne wanamakosa meng zaid ya walilofanya wapinzan na bado nchi inakua kama yaoSasa huo uzalendo wa kweli kwa upande wa upinzani bado nina mashaka nao. Kwangu mimi naona bado wana deni la kwa namna gani wafanye ili niridhike kua sasa wanaweza kuongoza nchi na kunisahaulishe yale waliyoyafanya mwaka 2015 kwenye uteuzi wa mgombea wao wa nafasi ya urais.
Binafsi nina imani nao tu kwenye nafasi za ubunge na nyingine za chini. Lakini kwenye kuongoza nchi bado hua nahisi wanaweza kurudisha nyuma hata haya maendeleo tuliyonayo.
NB: Kuongoza nchi kama Tanzania sio kitu rahisi, kumbuka hata Mh.Magu alipigwa sana mawe wakati wa uongozi wake na hii ilitokana na mapenzi pamoja n.a. uzalendo aliokua nao kwenye nchi yake..
Kosa ni kosa tu mkuu na ukifanya jua lazima watu watapoteza imani na wewe. Kwa upinzani lile lilikua kosa kubwa mno, haiwezekani mtu miaka yote mnamchafua halafu eti ndani ya wiki mbili mnamuita ni mtakatifu halafu wale walioongoza mapambano ndani ya chama kwa miaka zaidi ya kumi wanakuja kuonekana hawafai.Mbona unawahukumu wapinzan kwa kosa ambalo kwanza ni la kimkakat ivyo ivyo ni kosa ambalo litabak kuwa doa lkn ni funzo ,na pia kutoka sehem moja ukaenda upande wa pil ukapewa dhamana ata ccm wanafanya sana ,na kubwa zaid hawa wengne wanamakosa meng zaid ya walilofanya wapinzan na bado nchi inakua kama yao