Recent content by cheggy2015

  1. cheggy2015

    Executive Pay ya Top CEO Tanzania

    Steph tukijua itatusaidia kujua ni hela ngapi mwananchi wa kawaida alipwe
  2. cheggy2015

    IMF: Tanzania now 10th largest economy in Africa, up from 12th

    Expulsion ulisoma shule chini ya mwembe gani. Thamani ya pesa kupanda haimanishi uchumi mzuri au hali ya mwananchi nzuri. In fact Kwa uchumi mdogo unaotegemea ku-export, thamani ya hela kuwa kubwa inaumiza hali ya uchumi. Inaumiza ajira. Inaumiza wananchi. Kuhusu swala la GDP, GDP ni measure...
  3. cheggy2015

    One Struggle, Many Fronts. Forward ever, Backward Never... Tumeamua kuangalia mbele!

    Kapotolo uko biased from the word go!!! Hauko openminded unaporaise issues zako! Shame on you!!!
  4. cheggy2015

    One Struggle, Many Fronts. Forward ever, Backward Never... Tumeamua kuangalia mbele!

    Zitto, nakuaminia kuhusu integrity yako. Nina tofauti kuhusiana na siasa zako. Siiamini Sana kwenye azimio la arusha. Niko suspicious na left wing politics. Lakini nafikiri umefanya vingi vya kutosha ku-earn respect kama politician. SIKU ukitaka kuenea marekani, get in touch...
  5. cheggy2015

    Mabinti mnakumbwa na nn mpaka inakua hv?!

    Maula, hiyo ni kawaida katika karne hii ya 21! Ko kote uendako duniani utakutana na hilo; ulaya America etc etc. Kwa nini Tanzania iwe tofauti?
Back
Top Bottom