Recent content by cheesygoon

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya Kubadilisha IMEI

    Yani hapo mpaka ui-root install exposed, then xposed imei changer. Ingekuwa ni mtk ungeroot tu halafu unatumia mobile uncle. Lakini hiyo mpaka utumie hiyo process hapo, na unatakiwa ujue unachofanya au utaifanya simu yako kopo(IYO NI WARNING USINILAUMU MIMI IKIWA KOPO) :P
  2. C

    JamiiForums Tanzania Download Speed: Shkamoo Halotel

    Watu wambishi nimesha waelezeni kuwa kuna tofauti kati ya mbps na MBps page #25. unayopata 13 mbps ni sawa na 1.6MBps.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Download Speed: Shkamoo Halotel

    Kuna tofauti Kati ya Mbps na MBps(B kubwa). Tubemate huwa inaonyesha Mbps. Kwahiyo Mbps 13 ni sawa na 1.6MBps Mbps inamaanisha megabits per second. MBps inamaanisha megabytes per second.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Halotel ukiingia ndani network inashuka

    Lg nexus 5.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Halotel ukiingia ndani network inashuka

    Sijui ni mimi tu au.? Kwasababu halotel nikiingia ndani tu network inashuka hadi bar 2 au inabaki lakini data inakataa kabisa kufunguka. Nimesha jaribu sehemu kama 3 mikoani lakini ni hivyo hivyo.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

    Baada ya wiki inakwambia tena license verification failed.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tigo 4G waanatumia band gani?

    Ooh OK, ila mbona una-enable 3 au 8 tu 20 haipo.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tigo 4G waanatumia band gani?

    Kwasababu nimenunua lg nexus 5 D820 haishiki 4G ya Tigo.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Voda speed ya internet wajanja knight.

    Wapumbavu sana. Sijui wapi kuna nafuu tuhamie.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Voda speed ya internet wajanja knight.

    Wameni throttle labda. Au sehemu nilipo.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Voda speed ya internet wajanja knight.

    Hivi ni mimi tu speed ya wajanja knight ikifika saa 6 usiku voda wanapunguza hadi 50kbps max.hii siku ya nne. Nahama.
Back
Top Bottom