mkuu Chuo kitafanya usajili na kama umehama hicho Chuo jina lako halitosajiliwa pale hivyo hicho hicho Chuo kitapeleka majina loan bod na tcu ya ambao hakijawasaji hivyo tcu itatambua moja kwa moja Chuo ulicho hamia na hivyo kama ulipewa mkopo Chuo ambacho umetoka kitapeleka jina lako loan bod...
Habar wana jf mm nimmoja wa wahanga waliokosa mkopo mwaka 2014/2015 &2015/2016 sina hamu ya kuishi tena Kwan mwaka Jana nilishindwa kuendelea na masomo nikasubili mwaka huu napenyewe nimekosa tena pamoja nakuwa na kuwa na sifa yakupewa mkopo ushauli Wako niwamuhimu sana kipind hiki kigumu kwangu
Hii sio haki hata kidogo mwaka Jana walinyima mkopo nika sitisha masomo na mwaka huu wameninyima mkopo m nimtanzania au msomalia sielew nifanyeje mungu wangu jaman nisaidien mawazo nahis Moyo wangu kufail mda wowote sina hamu ya kuishi tena
inakatisha tamaa sana had unajihisi ulivamia nchi we sio mtanzania jaman mala tatu zote wananinyima mkopo kwel hii sio hak hata kidigo na hawana la kusema mbele za mungu zaid ya hukumu
SIO KWELI KWAMBA WANAFUNZ WOTE WAMEPEWA MKOPO IMETOLEWA KWA BAADHI NA MM NIKIWA MIONGON MWA WALIOKOSA MKOPO INANIUMA NIKIONA UNASEMA WOTE WAMEPEWA MKOPO kuwa na huhakika na unachokipost
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.