Recent content by check salio

  1. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta leseni zote za kuhodhi maeneo ya madini na wamiliki wake watakiwa kuomba upya

    Songa mbele uncle magu, usiogope kelele za vibaka. Waandalie wajukuu wako wa tz maisha yenye neema.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ayakataa majibu ya Waziri wa viwanda na uwekezaji kuhusu bei ya sukari

    Mm binafsi sioni ni wapi tra walipokose, Tra wanacheza na documents tuu. Product moja ina document mbili. Sasa tra watumie ipi na waache ipi???
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Magufuli, kumbe ongezeko la mshahara wangu ndo unajenga zahanati na kusomesha bure

    Hii nchi ina wafanyakazi, wafanyabiashara, na wakulima. Je za hao wengine zinatumika kwenye nini??
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya WEF: Tanzania ina umaskini wa 79%, hii sisikii serikali ikisema zaidi ya kusema Uchumi Shirikishi

    Samahani kiongozi, mm sina taarifa sahihi kuhusiana na namba ya watu tuliopo tanzania. Hivi tupo mil 60 Au tupo mil 50? ????.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lowassa kafungua mlango wa majadiliano na utawala wa Magufuli kwa vyama vya upinzani, asibezwe, apongezwe

    Hivi ni kweli kuwa kuna kamati iliteuliwa na uncle kufuatilia mali chama ????? Naombeni majibu kama ni Kweli. .
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Roman empire na Marekani ni nani haswa anayeitawala dunia?

    Hili ni jukwaa la kujadili idea za watu, cyo kushambulia watu au taasisi fulani. Asante.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri nchini kwa sasa ni laana. Damu ya Lissu inaanza kuitia nuksi nchi

    Kaka! Maendeleo hayana chama! Tutajie ni sehemu ipi ya tanzania alipotoa au kusema kuwa wana ccm wawe wa kwanza kupata huduma!, baada ya hapo, ndo wengine nao wafuate ...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri nchini kwa sasa ni laana. Damu ya Lissu inaanza kuitia nuksi nchi

    Binafsi sioni ubaya wowote wa uncle magu. Tatizo ni kwamba kuna kundi la watu ambalo lenyewe lilijiona kuwa ndilo lenye haki ya kufaidi matunda ya nchi hii. Na wengine Wawe watazamaji tuuuu, sasa akitokea mtu na kusema kuwa nyie hamuwatendei haki wenzenu, kwa sababu matunda mnayokula...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Huo ni ukweliiii usiopingika.......
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikao cha siri cha CCM juu ya Jimbo la Singida Kaskazini

    Kama ni kikao cha siri wewe umekijuaje? ??
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aomba radhi kwa Rais Magufuli baada CCM kushindwa kata ya Ibighi! Akana baada ya kuhojiwa

    Tupia ka video kake mkuu, wakati anayaongea hayo maneno uliyoyasema. Na imani video yake itapendeza zaidi.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kwa hili la kuwakemea mawaziri mbele ya subordinates unanisikitisha

    Hata wewe mwenyewe umeishakosea!, kama ba a yako amekosea kuongea jambo fulani, si busara kama mtoto kumkosoa baba hazarani. Ingependeza zaidi kama ungemwandikia barua ya siri.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wana mapafu ya punda (wanaume kumbe bado wapo ila wachache)

    Kama ni mwanamke wa koulewa wewe haufai hata kidogo!, Inaonyesha ni jinsi gani ulivyokuwa hauna malezi mazuri kutoka kwa mama yako mzazi. Mwanamke mwenye maadili hawezi kuweka siri ya penzi la kitandani la mume wake hazarani hivi, Inaonyesha wewe ukigombana na mumeo! Siri za mumeo zote...
Back
Top Bottom