Recent content by che nyangata

  1. C

    JamiiForums Tanzania Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

    tatizo nini
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Mimi nipo kama vp tuwasiliane.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

    Yawezekana umepanda kwa watu wachache lakini watanzania walio wengi bado ni masikini, wanakula mlo mmoja kwa siku.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nampenda rafiki wa dada yangu ila namheshimu dada yangu! nipeni maujanja

    Sema naye usione aibu, atakuelewa tu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tusibaguane kwa udini ni hatari kwa nchi yetu

    Tunaugua na kuhitaji damu hospital huwa hatulizan hii damu ni ya Mkristo au Mwislamu? Jibu ni hapana, basi ni mpango wa M/ MUNGU naomba tusibaguaene. Maana hakuna hewa ya mwislam wala mkristo? Basi tupendane, na mwisho wa siku wote tunachimbiwa shimoni na kifusi cha udongo kinakuja juu, hakuna...
Back
Top Bottom