Mkuu Matola waambie hao wanaodhani kuwa maendeleo yao yataletwa na kugawa mikoa yao, wilaya zao, tarafa zao au kata zao, kwa maana ya kuzigawa na kuunda nyingi zaidi.
Kinachotakiwa ni kuwa pesa zitumike kupeleka maendeleo maeneo yote, huduma za miundombinu ya barabara, elimu, maji, umeme na...