Recent content by chazymseri

  1. chazymseri

    Nimechoka sana na maisha

    Alafu mungu anamaajabu sana huenda alijuwa anakutayarisha kwa mazuri sasa atakupatia mambo mazuri sana pale unapoanza kuya enjoy anakupatia papo hapo na hilo unalomuomba akuchukue minaona kama unajiweka njia panda
  2. chazymseri

    Nimechoka sana na maisha

    Ukikuta mlima ujue mbele kuna mteremko kila ugumu unaoupitia ni matayarishoya mazuri atakayo kujiahakunaga raaaaaahaaaa tuuuu au shidaaaaa tuuuuu hivi vyote viwili huja na kupita raha huja ikapita na alikadhalika shida nazo huja zikapita jambo la msingi ni kuangalia mwenyezi mungu anamakusudio...
  3. chazymseri

    Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    WhatsApp sijaifunga kwakutumia hizo app za kufunga app ila nakumbuka nilidownload player ambayo haikuja na simu ndio huwa natumia najaribu niitoe labda kama itasaidia
  4. chazymseri

    Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    Thanks sana nitapiga picha kaka
  5. chazymseri

    Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    Nashukura kwa kujali na kuniuliza natumia whatsapp ipi minajua iko moja tu labda msaada naomba kama iko nyingine
  6. chazymseri

    Nawezaje kuondoa matangazo kwenye android?

    Hi naomba msaada ni jinsingani ya kuondoa matangazo yanayokuja kila mara kwenye simu yangu yani kuna pop up kila napotaka kuangalia videonau picha kwenye whatsapp masaada please
  7. chazymseri

    Azam vs bidvest

    Msaada kwa anayejua mpira wa Azam vs bidvest unaonyweshwa na tv gani na saa ngapi
  8. chazymseri

    Msaada mwenye Wimbo Julie wa Bob Rudala.

    Karibu sana kama una mwingine unautaka sema Tu kama ninao kwenye library yangu nitakupatia
  9. chazymseri

    MSAADA KWENYE SMART TV

    Hi wandugu mara nyingi natumia laptop kuangalia mpira kutoka kwenye baadhi ya website kama vile thefeed2all. eu rojadirector nanyingine nyingi lakini nilipenda kama ningeweza kuangalizia mipira hii kwenye smart tv LG. lakini kila nikifungua website inakubali lakini inapotaka kuanza kuplay hiyo...
  10. chazymseri

    Kwa wapenzi wa smartphone aina ya "Samsung"

    kwa upande wangu mimi week iliyopita nimeagana na samsung nafikiri sitakaa ninunue simu za aina hiyo tena sababu ni hizi hapa mwaka jana nilinunua samsung galaxy Note 3kwenye duka moja maarufu hapo posta mpya walinipa na warrant ya mwaka mmoja bei ilikuwa ni laki 9 wakanipunguzia ka 20 baada ya...
  11. chazymseri

    Series (Special thread)

    Natafuta series ya blacklist atakayenipa tunaweza kubadilishana na series ambazo ninazo kama fringe breaking bad Empire ,scandal na nyinginezo
  12. chazymseri

    Series (Special thread)

    mimi nimeona baadhi na nimezi rate kama hivi SERIES MOVIES 1.BREAKING BAD ★★★★★ 2.POWER ★★★★ 3.FLASH ★★★★ 4.FRINGE ★★★★ 5.GOTHAM ...
  13. chazymseri

    King'amuzi changu kimepoteza chaneli kibao naomba msaada

    I iam allready download and it ask for the code what is the procedure to get code
  14. chazymseri

    Msaada kupata serial key za adobe acrobat pro xi

    https://thepiratebay.am/torrent/11042347/Adobe_Acrobat_XI_Pro_11.0.9_Multilanguage_%5BChingLiu%5D
  15. chazymseri

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Unajua unaweza kuwa nje ya jambo ukaona walioko ndani wanakosea ukiingia unapewa za uso mpaka unachanganyikiwa kama hivi sasa hujui ushika wapi urekebishe nini
Back
Top Bottom