Alafu mungu anamaajabu sana huenda alijuwa anakutayarisha kwa mazuri sasa atakupatia mambo mazuri sana pale unapoanza kuya enjoy anakupatia papo hapo na hilo unalomuomba akuchukue minaona kama unajiweka njia panda
Ukikuta mlima ujue mbele kuna mteremko kila ugumu unaoupitia ni matayarishoya mazuri atakayo kujiahakunaga raaaaaahaaaa tuuuu au shidaaaaa tuuuuu hivi vyote viwili huja na kupita raha huja ikapita na alikadhalika shida nazo huja zikapita jambo la msingi ni kuangalia mwenyezi mungu anamakusudio...
WhatsApp sijaifunga kwakutumia hizo app za kufunga app ila nakumbuka nilidownload player ambayo haikuja na simu ndio huwa natumia najaribu niitoe labda kama itasaidia
Hi naomba msaada ni jinsingani ya kuondoa matangazo yanayokuja kila mara kwenye simu yangu yani kuna pop up kila napotaka kuangalia videonau picha kwenye whatsapp masaada please
Hi wandugu mara nyingi natumia laptop kuangalia mpira kutoka kwenye baadhi ya website kama vile thefeed2all. eu rojadirector nanyingine nyingi lakini nilipenda kama ningeweza kuangalizia mipira hii kwenye smart tv LG. lakini kila nikifungua website inakubali lakini inapotaka kuanza kuplay hiyo...
kwa upande wangu mimi week iliyopita nimeagana na samsung nafikiri sitakaa ninunue simu za aina hiyo tena sababu ni hizi hapa mwaka jana nilinunua samsung galaxy Note 3kwenye duka moja maarufu hapo posta mpya walinipa na warrant ya mwaka mmoja bei ilikuwa ni laki 9 wakanipunguzia ka 20 baada ya...
mimi nimeona baadhi na nimezi rate kama hivi
SERIES MOVIES
1.BREAKING BAD ★★★★★
2.POWER ★★★★
3.FLASH ★★★★
4.FRINGE ★★★★
5.GOTHAM ...
Unajua unaweza kuwa nje ya jambo ukaona walioko ndani wanakosea ukiingia unapewa za uso mpaka unachanganyikiwa kama hivi sasa hujui ushika wapi urekebishe nini
Uongozi wa sasa mmeshindwa nini kuboresha jezi ambazo watanzania walisha zikubali na wakawa wanazivaa wengi mimi bado nitajisikifahari kuvaa zile za zamani hizi sioni kama zinatuwakilisha kitaifa katika rangi
Alafu eti tunataka soka lipande tuweze kuuza wachezaji nje tunaota kweli yaninmpira tunaocheza ni wa size yetu humu humu ndanibya tanzania iwe kwa vilabu iwe kwa taifa hatuna wachezaji hatuna makocha wote kwa pamoja hawana wanaloweza kufanya la tofauti jezi watzania wote hawazipendi nichaguo la...
Sijui kama hawa viongozi nao wanasikia aibu kama tunayosikia sisi wengine ambao tunaona madudu yayofanyika yani utafikiri kocha anafanya makusudi ili kukatiza mkataba wake jana nilisikianwatangazaji wa super sport wakicheka sana baada yakuona sub iliyofanywa nafikiri alitolewa ngasa akaingizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.