Recent content by chaznewa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mnunuzi wa pili kurudisha nyuma tarehe ya kusainishana mkataba na aliyeniuzia eneo

    Hilo shamba lipo Mlandizi Msongola?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa yanyesha usiku huu jijini Dar es salaam

    Huku kimara inanyesha ila si kubwa sana kwani hata pipa langu la maji bado halijajaa maji vizuri.
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafiti: Matumizi ya condom yamepungua kwa kiasi kikubwa Tanzania

    Ukivaa koti wakati wa joto utatoka jasho na ukivaa condom mashine itasikia joto na mishipa inatutumka tu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hili: Ubakaji wa mwanafunzi wa form six mwenye umri wa miaka 16

    Kuna watoto wanarushwa madarasa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kufuta michoro mwilini bila kusababisha madhara (Tattoo)

    Tattoo zitafutika ndugu, pita njia ya mabibo kuelekea kigogo kuna matangazo kibao ya wafuta tattoo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Choo cha Stendi Moshi wanaiba Umeme

    Hapo kwenye hiyo picha sio wizi wa umeme ndugu umeme unaibiwa kwenye meter na sio hiyo fuse, hapo fuse imekufa walichifanya wamepiga direct yaani jumper ila madhara ni kwao kama kukitokea short.
  7. C

    JamiiForums Tanzania 75 asilimia hupokea chini ya 2mil kwa mwezi.

    Mimi sijaajiriwa wala sina mradi lakini mafuta naweka naenda kubangaiza na familia inakula na kodi ya nyumba nalipa ila vyeti viko sandukuni sijabahatika kuajiriwa wala kukopa nianze biashara legal
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni ya nani hii hapa mjini?

    Du. Kali
  9. C

    JamiiForums Tanzania Abiria Wafanya uharibifu Treni Mpya (Delux)

    Kama uwanja mpya wa taifa wakizoea wataacha uharibifu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Duka la Vileo-SURVEY MASHIRIMA auawa kikatili

    Msiba ulikuwa mwaka jana
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaojuwa Tunda hili jina Waniambie Linaitwaje?

    Stafeli
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona Wanaume wa Kanda ya Ziwa hawakupigana na Wakoloni?

    Humble people can not protect their land but they alien with enemy.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima, Majambazi wawili Raia wa Italia watiwa Mbaroni

    Hapo Kuna kamchezo
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada Please: Nipo nje ya nchi

    Tobo bao, Tobo busu, Tobo dole, mseleleko, kidari, bong'oa, kijipikilisha, bunduki za visoda, kuwinda ndege, kusaka, kudandia Magari, kurusha mawe kwenye mapaa ya watu, kujambisha, shikamoo naomba dala, kuoga mvua, kukamata kumbikumbi, kupaisha vishada, Magari ya mbao, kulipua baruti, malani...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mpambe wa Diamond adundwa naka bwana mdogo

    Nani hiyo? Mwarabu?
Back
Top Bottom