Recent content by Chawa Namba Moja

  1. Chawa Namba Moja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji taasisi ya mikopo Mwanza

    Wakuu salaam, Niende direct kwenye jambo langu. Binafsi ninajishughulisha na kazi zangu binafsi kwa mwezi huu mambo yamekuwa ni magumu sana. Nimejipiga piga wataoto wamekwenda shule kwa mshike mshike. Lakini kuna sehemu waga napeleka mzigo,kulingana na mwezi huu nimejikuta nimetumia hadi...
  2. Chawa Namba Moja

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanamke pitia hapa

    Wakuu habari, Natumaini mko salama na mapumziko ya weekend ya leo.Leo nitapenda ku shere ushuhuda wangu kuhusu wanawake wanaosumbuka kupata watoto na wengine hambao wamekata tamaa kabisa ya kuzaa Nakumbuka miaka ya 1990 na kuendelea nikiwa mdogo tukiishi pamoja na Bibi yangu kizaa Mama...
  3. Chawa Namba Moja

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Unaweza kuleta iyo Link hapa tuione mkuu
Back
Top Bottom