Hivi ni kweli unafikiria kwa akil zako zote na kumsemea rais wako vibaya...sikulaum ni elimu waliyokunyima ccm...na lengo la ccm tokea longtime ilikuwa ni kuandaa wajinga tz ili iwe rahis kuwaburuza...ona sasa tunabishana wenyewe ambao tunahitaji mabadiliko haya kutoka kwa rais wetu mtukufu sana...
ndugu zangu wana jf... nawakaribisha sana katika webite yangu MWL CHAVA COMPUTER CLASS kwa wale wanaotaka kujua mambo mbalimbali yahusuyo computer na wale wapenizi wa simulizi mbalibali bofya hapo upate mambo.... karibu sana
Chama hiki ni cha mafisadi tupu, kwanza kwa nini mwalimu hajajaza fomu na anakatwa, je ni vigezo gani vinatumika ili mwalimu alazimishwe kujiunga kwenye chama fulani, mbona tanzania kuna chama cha kuzikana lakini si watanzania wote ni wanachama? mimi naona kama mwalimu hajajiunga asikatwe...
haya mambo ni ya kawaida sana ndugu yangu, hawa wajamaa siku hizi hali ni mbaya sana, hata sisi nao tumebadilika sana ninachokushauri achana naye hayo ni mapenzi ya mungu mpaka amekubwaga kwani angeendelea na wewe na kukufanyia vituko ungelia pooooooooooooooooooooleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.