Inahusiana nini na point yangu kwani hata centre half akiwa kwny move ya kupeleka shambulizi hawezi kujikuta yupo nafasi yoyote ile so wij ni DM ila timu kama inashambulia na imemiliki mpira u can see there as an attacking midfielder na timu inaposhambuliwa anastik on his position kama defensive...
Kwa wapenzi wa vyenga wij mtamuona bonge la mido, wij anangangania mipira, anapoza mashumbilizi, forward wanaweza kujiposition vizuri ili wascore jamaa anaforce show off mpaka forward zinabanwa ndo anatoa Pasi na imekuwa ndo kawaida habadiliki msimu na msimu hapo kwa fabinho tumelamba joker muda...
Wij ni galasa ndio ila ktk magalasa tuliyonayo ana nafuu kidogo na ndio maana ana uhakika wa namba coz ni the best among magalasa tuliyonayo kama midfielder wote wakiwa fit klop namshauri atumie mfumo 4-2-3-1 kwa mid hizi keita milner/ox kama kuna gemu itamlazimu 4-3-3 mid apiki hawa keita, wij...
Hatufungwi sababu defense iko imara sijui mwenzangu mpira unautazama kwa macho gani pamoja na kuwa magalasa mengi still tuna mido wanaoficha madhaifu ya wenzao klop kakosa tu msimamo
Hatufungwi sababu defense iko imara sijui mwenzangu mpira unautazama kwa macho gani pamoja na kuwa magalasa mengi still tuna mido wanaoficha madhaifu ya wenzao klop kakosa tu msimamo
Siko mbali na wewe sana ila ukweli msimu uliopita pamoja na kuruhusu magoli mengi tulicheza vyema kuliko msimu kwa sasa hapo mido hatuna regular start up inayoeleweka inabadilika badilika kila siku na ndio chanzo kucheza mpira mbovu, sasa basi kwa mido hii isiyoeleweka mtoe Gomez weka lovren...
Namhurumia klop ataonekana kocha Wa hovyo coz option ya mido alizonazo ndo hayo hayo magalasa mido wenye akili ndo hivo tena majeraha yamewapenda zaidi
Ukweli mchungu tunaotakiwa kuujua wanaliver hawa jamaa ni magalasa lallana, wijndrum, Henderson, fabinho, hapa hatuna middle kabisa wengine klop kawaleta na wengine kawakuta huwa wanabebwa tu na wachezaji wenzao!
Misimu yote tangu klop aje tumecheza vyema sana kuliko msimu huu sema tu tuna defense nzuri inatubeba ila mpra msimu huu tunacheza mpira Wa hovyo na tunashinda kwa bahati tu
Gemu tunashinda sawa ila kibahati nasibu sana gemu tuliyocheza vizuri ni ile ya Kwanza tu dhidi ya west ham kwa kweli pale kati klop ana magarasa mia 5
Timu hii haiwezi kubadilika labda dirisha Dogo tuongeze viungo wawili watatu Wa maana make pale viungo magarasa ni wengi sana aliowakuta na aliosajili klop mwenyewe tutaendelea kushinda kibahati bahati mwanzo mwisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.