Recent content by chasuzy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania limtangaze Catarina Viera kama adui wa Katiba ya nchi

    Vp mbowe alipofutiwa kesi ya ugaidi,mahakama haikuingiliwa???
  2. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaopaswa kumjibu Jaji Warioba ni Chadema siyo CCM. Jaji amesema Hatua zisipochukuliwa sasa "Uchaguzi wa 2025 utakuwa kama wa 2024"

    Jajii warioba ni makamu wa Rais mtaafu,haudumiwi na CCM Bali na kodi za watanzania.....natumai utapunguza uchawa
  3. C

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Wasiojulikana waiba madaftari ya kujiandikishia, wengine wachoma moto Ofisi ya Mtendaji

    Uchawa mbaya sana unamfanya mtu awe kipofu,ina maana chadema wanamiliki smg(bunduki),pingu na vitambulisho vya polisi???kama ndio serikali inafeli wapi isiwakamate hao viongozi wa chadema?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

    Ata huko maofisini wamewasha tv wanaangalia na wengine wameenda Cairo kuona live,wewe kama una kazi shukuru,hacha wivu kila mtu anastasia yake ya kupata pesa,
  5. C

    JamiiForums Tanzania Putin atishia kuiparamia Poland ikiimarisha mpaka wake!

    marekani afiganistani miaka 20
  6. C

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

    Kweli kesi ya ugaidi kwa laki 7?wakati hata halitosis kununua baruti
  7. C

    JamiiForums Tanzania Striker wa Yanga Clement Mzize abadili Dini

    Sawa kwani suala la imani ni la kibinafsi,kila nafsi itawajibika kivyake,kama kaona huko ndiko sahihi 💯 ok
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    haijawai kuwa mwanachama
  9. C

    JamiiForums Tanzania DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

    kwani kwenye hii kumbukumbu nn cha maana rais alitaliwa awepo
  10. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Kwa hiyo wewe ni mrombo
  11. C

    JamiiForums Tanzania Rais akiruhusu 'plea bargaining' kufanyiwa uchunguzi katika Serikali ya Awamu ya Tano atakuwa amekosea sana

    Uchunguzi ufanyike ukweli ujulikane,kama ilivyokuwa South africa (time ya ukweli na maridhiano)
  12. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

    Sawa,kwa hiyo mangufuli alitudanganya?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yakiri kuachana na madai ya Tsh. Trilioni 360 za Makinikia

    Mimi mtanzania wa kawaida mpaka leo sijaelewa kuwa tuliaminishwa kuwa tunawadai trillion 320 mwisho wa siku tukaambulia billion 700 na 16% .Enzi za mwenda zake ilikuwa haramu kujadili lakini leo hayupo tujulishane ukweli
  14. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Abdallah Ulega: Madai ya Samaki kuhifadhiwa kwa maji ya maiti ni hisia tu

    kali ya VP kwenye nchi za wenzetu leo masoko ya hisa na mitaji yangeyumba sana.lkn kwa tanzania ni jambo la kawaida,naibu waziri anasema ni hisia tu!!!kwa hiyo makamu wa rais kaongea hisia,mungo,hajui...!lakini ni wa pili kwa mamlaka katika jamuhuri ya muungano wa tanzania.
Back
Top Bottom