Recent content by CHASHA FARMING

  1. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata uzoefu kwa wakulima wa dragon fruit!

    Kabla hujalima lazima utambue yafuatayo. 1. Hali ya hewa, Dragon zinataka ukanda wenye jua kari la mda mrefusana. 2. Maji, umwagiliaji ni muhimu sana wakati wa kiangazi hakikisha maji yapo. 3. Aina za Dragon, aina ziko zaidi ya 50 huko, na sio zote ni nzuri kuna mabazo taste yake tu mtu...
  2. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Vifaa 3 muhimu kwenye utengenezaji wa incubator ya kutotolesha mayai

    Unauzaje controler hio? Ninazo mashine kuhwa but nataka kutengeneza moja ndogo kwa ajili ya mayai ya Bata, make hizi kubwa haziangui vizuri mayai ya Bata
  3. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Wewe ndio unaona wa kipumbavu kwa sababu usha zoe mambo ya ku copy and paste, au mambo ya kuagiza bidhaa China kukuza uchumi wa China
  4. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Matumzi ya Wali mweupe yana hatari zaidi kuliko Soda kwenye kusababisha kisukari

    jamaa ana potosha fulani
  5. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Usikubali kufa masikini. Nakupa hili dili jipya, Fuga senene kibiashara, upige pesa

    Senene wanaweza fugwa ni kweli the same na kumbikumbi
  6. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wadudu protein(Edble insects) wanaweza tusaidia kupunguza kiwango cha utapia mlo kwa Watoto Tanzania

    Vidonge huwa hatubushi kula, vyakula vimejaa sumu tupu
  7. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za MTIPITIPI (rosary pea/jequiry bean)?

    Unatoa bei gani kwa kilo?
  8. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Kutokupata annual increment

    Hii ina uhusiano gani na Kilimo?
  9. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Hanang' hajiwalipa Wakulima na Wafugaji walioshiriki nane nane stahiki zao

    Hehee, next time nendeni kwenye maonyesho nyie kama nyie, acheni kutegemea kubebwa bebwa kupelekwa kwenye maionyesho, hamuwezi toboaa kwa staili hio
  10. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ng'ombe aina ya Girolando mvumilivu wa magonjwa na anayetoa maziwa mengi

    HAWA ng'omne hawana hizo siga wanao pewa, Kenya kuna mjadala nilion kuhusu hawa Ng'ombe. Na Tanga wapo pia kuna watu wanao
  11. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ng'ombe aina ya Girolando mvumilivu wa magonjwa na anayetoa maziwa mengi

    Hizo ni stories tu, Kenya wapo na hata Tanga wapo sijui kama mnajua hilo
  12. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Ng'ombe aina ya Girolando mvumilivu wa magonjwa na anayetoa maziwa mengi

    Bado hafikii Fresian kwa maziwa,
  13. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Kwenye Biashara ya Super Market hasa hizi Kubwa, Fruits, Vegitable na fresh food zingine ndio Cash cow yao

    Super Market huwa sehemu ya vyakula ndio Cash cow yao ya kuendeshea biashara, ndio sehemu wanayo patia pesa za kurun Duka zima. Bidhaa zingine zinazo bakia ni changamoto tu kama ilivyo mtaani. Ndio Maana Super Market kubwa wanajitahidi sana wawe na fresh food muda wote na kwa wingi sana kwa...
  14. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Tutakuwa Nane nane Arusha na aina tofauti tofauti za spicies za matunda, ya Kibiashara ama kwa matumizi ya Nyumbani

    Tunataraji kuwepo Nane nane Arusha na Spicies tofauti tofauti za miche ya matunda uanayoweza lima kibiashara ama kwa matumizi yako ya nyumbani yaani Home use. Kama uko kanda hii ya kaskazini jongea hizo siku zikifika na jiopatie mbegu ama hata kushauriana tu pia kuna matunda ya kutest...
Back
Top Bottom