Recent content by Chasaga

  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Kwa kauli yako hiyo bado unajiona msafi kweli?
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Kwa namna ulivyonijibu umeonesha kuwa kichwani hamna kitu! Hivi unaweza kuthibitisha hayo yote uliyoyasema?
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Ebu niambie, kuna uhusiano gani kati ya CCM na huo msiba!
  4. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    S Shangilia tu kwani unakatazwa? Hata kama wewe ni msafi sana unaharibu usafi wako kutokana na matendo yako!, Ebu jiulize, unaposhangilia anayeumia hapo ni huyo aliyekufa au ni ndugu zake? Nafikiri jibu ni ndugu zake! Je, hao ndugu zake nao walikufanyaje?
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Je, una uhakika hapo ni Kongwa? Jiongeze ndugu yangu acha kuwa kama kasuku!
  6. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Utabaki wewe na familia yako tu! Unafikiri ndugu zako walikufa ni kwa sababu ya mabaya yao? Au ndo wazuri hawafi?
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Unaweza kutangulia wewe! Unafikiri wewe ni msafi kuliko Makonda?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kikosi maalum cha Urusi chawateka maafisa wa juu wa kijeshi na kijasusi ndani ya Ukraine

    hmad Kwani hao mademu ni wengi? 😁😁
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ila kuna watu wana machozi ya karibu

    Kwani lazima uwe Mbunge, fanyeni kazi nyingine!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

    Kama vile unaona anavyoteketea, maana wewe ni mtakatifu!
  11. C

    JamiiForums Tanzania Huenda kilichozinduliwa Kwa ajili ya Uranium ,Nyuma yake kuna Uchimbaji wa Dhahabu !

    Kama mimi ni punguani basi wewe ni mfu kabisa! Inakuwaje mtu mwenye akili timamu uishi kwa kutegemea uchawa!!!?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

    Huwa najiuliza!, kwa nini inaitwa kiti moto na nyama ya nguruwe? Je, kuna tatizo kuita nyama ya nguruwe?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Huenda kilichozinduliwa Kwa ajili ya Uranium ,Nyuma yake kuna Uchimbaji wa Dhahabu !

    Umemuelewa lakini mtoa mada? Kwa akili yako unafikiri ni kweli pale kuna shughuli ya Uranium? Kwani Rais akiitwa kwa jina lake anapungukiwa nini? Hata kama kuna maslahi mnayapata kwa Uchawa kuna ndugu zako wengi tu wanapata taabu kwa kukosa huduma mbalimbali za kijamii! Ubinafsi ni mbaya ndugu...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mzee roporopo sijui kama tutamuona te na kwenye vyombo vya habari

    Kumbukeni kuna nafasi ya wabunge kumi wa kuteuliwa na Rais!. Pengine anaandaliwa kwa mtindo huo!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba Pole sana

    Aliwahi kusema wazuri hawafi!!!
Back
Top Bottom