Recent content by charya

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top ten Countries without access to toilets. Kenya haiko. Tanzania iko top 10

    Mambo mengine ya hovyohovyo eti watu wanajivunia ujinga tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

    Roho mbaya tu na kutukuza vya kizungu inakusumbua ndugu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Ye amekataza meli kuja kama meli zilikuwa zinakuja na hazina faida kwa nji kuna haja gani ya kuwa na meli nyingi ambazo hazina faida bira zisije tu na mambo yazidi kuwa magumu zaidi maana mlizoea fedha za bwelele
  4. C

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose Bhanji aendelea kububujikwa machozi dhidi ya maamuzi ya Magufuli

    Mbona hata Chadema ni ya Mbowe
  5. C

    JamiiForums Tanzania Shy-Rose Bhanji aendelea kububujikwa machozi dhidi ya maamuzi ya Magufuli

    Hivi kwani Tanzania nzima yupo yeye tu aache kulalama wapo watu wengine wenye uwezo zaidi yake na huenda walikuwa hawapati nafasi kwa sababu ya kujuana kwingi mi nashauri atulie kimya tu sa akilalama efubi nani atamsaidia afanye mambo yake mengine
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Huna lolote walewale wapiga dili
  7. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Wanahabari na Spika wa Bunge, Job Ndugai

    Ukabila wanao watu wa kaskazini
  8. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

    Uso ambao aliunguzwa na low ass
  9. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

    Kama ulivyo mnafiki wewe joshua nasari Huyo unaemtaja kuwa hakuhojiwa nae ni mnafiki tu Mbowe ni mnafiki Zito ni mnafiki Kapombe ni mnafiki Tindu Lisu ni mnafiki Mtakatiro wa CUF ni mnafiki Wanadamu wote ni wanafiki tu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe na Nape wakutana uwanja wa taifa , Nape ashangiliwa

    So what akishangiliwa inakusaidia nini wewe je inakuongezea kipato Inapeleka watoto wako shule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. C

    JamiiForums Tanzania Zitto: Waliomsindikiza RC Makonda ni walinzi maalum, kibali hutolewa na Rais au DG TISS

    Kama kweli ayasemayo ni sahihi je akiitwa kutoa ushahidi anaweza kwenda kutoa ushahidi usiotia shaka kwamba ayasemayo si kweli
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS: Rais Magufuli atengue uteuzi wa Makonda kabla hajazidi kuchafua taswira ya Serikali

    Endeleeni kuropoka tu bwana mkubwa ameshasema hafanyii kazi umbeya yeye ndie anaejua nani anatakiwa kuwa wapi
  13. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye, jiuzulu kulinda heshima yako!

    Hana uwezo huo ni wachache sana katika nchi hii wenye uwezo wa kujiuzulu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa documents

    Naomba msaada ntaipataje standing order pamoja na sheria ya tawala za mikoa namba 19 ya mwaka 1997
Back
Top Bottom