Recent content by charmingboy

  1. charmingboy

    Kwanini MD ya University Of Dar es Salaam imeachwa?

    nakelwa Sana na hisi siasa za Tz mpaka katila sekta nyeti kufungia IMTU na UDOM na kuiacha KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY WAKATI WOTE WANAJUA MATATIZO YAKE hii ni zaidi ya siasa pia lazima tujue "mzee akijamba katika kundi Lao wote hawaongei ila Kama Kuna mtoto ataa.biwa ndiye kajamba" wamoja...
  2. charmingboy

    Prof. Ndalichako usirudi nyuma katika kuboresha elimu

    Pr anajua lakini Kuna mambo kidogo hayapo sawa mfano katika guide ya mwaka huu inaonesha E ni point zero at the same time mwaka 2014 E haikuwa 0 na wala sio F inamaana point 0.5 kwa mwanafunzi wa mwaka 2014 mwaka huu zimepotea kwa upande mwingine ngoja niliweke sawa E inapaswa kuwa zero point if...
  3. charmingboy

    Wanafunzi wote walio Vyuo Vikuu wasio na sifa kuondolewa. Vyuo kurudisha fedha za wanafunzi hewa

    Serikali inahitaji ipate ufumbuzi yakinifu wa haya mambo kuwafukuza wanafunzi wasio na vigezo na wakati wapi miaka kadhaa mbele sio haki Bali serikali ilipaswa kusimamia na kuwawajibisha vikali waliodahili wanafunzi Hao yaana TCU NACTE Na Chuo chenyewe.kumfukuza mwanafunzi ni kuongeza umaskini...
  4. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    umepanic br..ila chuo ndio ukweli. Kiu ni chuo cha waliofeli Na ambao hawana sehemu za kwenda kusoma
  5. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Najua waweza ita chuki ila tafuta application ya muhimbili au udom nacte uone Kama utaipata.na vyuo vya government kuanzishwa maana take serikali in plani na inatambua uwepo wake.ndio maana usajili wake haunaga shida..Linganisha Kiu na vyuo vya private bwana.
  6. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Muhimbili hakipo chino ya Nacte na ndio maana application hufanyii by cas ila Kiu kipo na ndio maana unaaply kupitia nacte.Muhimbili na udom. Chuo ndio uhalisia.
  7. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Kiu kuna watu wanafunzi ambao hawasomi ila at the End unawaona wanamajoho wanagraduate..nenda kawaangalie hawa..MTU mmoja anajiita r.o.t.h.a.kagraduate mwezi Wa kumi mwaka juzi,secretary Wa DIA pale.na receptionist. Na kuna wengine wanafaulu mitihani kwa pesa na kufanya kazi za chuo.kuna Mpemba...
  8. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Kiu mpaka sasa hakina namba ya usajili nacte..ingia nacte.go.tz nenda registered institution angalia Kiu.kimeandikwa kiucc.....bila namba ya usajili.Msiwe wabishi bila utafiti.wapo wanaobisha na kutetea kwa kuwa hawana sehemu nyingine za kusoma Kiu ndio golden chance kwao.Hiyo kwa MTU ambaye Ana...
  9. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Na pia anayehitaji kubisha asiniletee taarifa toka kwa uongozi Wa chuo alete toka pharm council,Tanganyika medical association na TAMELASA Hakika nawaambia Kiu hakitafungwa new kuwa kinabebwa na watu wakubwa.
  10. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Kama unareason zenye maana njoo nakaribisha debate uje unielekeze sio chuki wala nn najaribu kutoa uhalisia.
  11. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Nyie mnaotetea naomba mtoe reason kumaliza kero kea mfanya biashara anayepata faida ni jambo ambalo hats yy analipenda.wew unafikiri Kama wanapata faida hii inamadhara kwao?
  12. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Sasa kumbe we unasikiliza uongozi Wa chuo nakupa task nyingine jaribu kuomba uamisho hata pale TCU tuu uone balaa lake ila wanafunzi Wa chuo chochote tz anaweza hamia hapo ni process ya siku moja tuu nakwambia
  13. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Nataka nikuambiwe hiyo mwanafunz aliyepigiwa Sim aje alipot mwezi Wa tatu ni kwa kanuni ya vyuo vip vilivyopo tz,Pia we naomba unitajie reg no ya Kiu.na ninavyoona na bishana na mwanafunzi Wa pale.
  14. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    Naomba we pia uliesema usajiri taja full registration no ya nacte au pharmacy council ili tz Ione kwamba nadanganya au kwa mtanzania anayejielewa matangazo ya KIU yapo kwenye matv n Nani amewahi kusikia inatajwa reg no. ya chuo.nataka nikuambie angalia tangazo Lao linasema CHUO KIMESAJILIWA NA...
  15. charmingboy

    Tetesi: Kuhusu Chuo Kikuu Kampala

    If someone anahisi an a strong reason za kutetea namkaribisha kwa anieleweshe but mm nashauri hayo for better.Ila najua KIU ni chuo chenye watu weng wanaokitetea kwa pesa,na wengine ni wanafunzi ambao hawawezi kuhama wala kutoka hapo,pia new kuthibitisha hayo yote kuna mdada pia aliomba halo dip...
Back
Top Bottom