Makonda mm nimesoma nae chuo ushirika yeye alikuja kujiunga tukiwa mwaka wa pili BA of Arts in community economin development(CED) ambapo alipospond na sababu za kupospond ni kwamba ilikuwa adisco baada ya kufeli masomo mengi ndo pakachezwa mchezo akapospond matokeo yakawekwa sawa na kabla ya...
Wewe ni kilaza sana huwezi muita mtu muhalifu kama hajahukumiwa,kila mwanadam ni mdhaifu so ungeacha mahakama idhibitishe uhalifuwake japo nazo zimekaliwa
Daah wewe ni maandazi ndo umetumwa kuja kuchafua kwa hoja hizo? Huongelei uzuzu wa baba yenu anayeulizwa kuwa amekula yeye anajibu kashiba sijui akiulizwa kuwa ananjaa au laa atajibu nini au ataendeleza lawama?
Upo sahihi kabisa ila ni wachache sana wenye uelewa huo wa kujua sio kila jibu ni jawabu na ndo maaana hata ukiangalia sio kila aliyefeli mitihani hakujibu maswali
Kwa maoni yangu nadhan zito anakosea na anapoelekea atayumbisha chama coz inaonekana ameshalewa sifa za watanzania wanao ongea bila kupiga kura. Ajipange
Yeye mwenyewe aliwaahidi waandìshi wahabari kuwa ataongelea swala la mawari j3,na pia km ulisikiliza vizuri kwenye hoja ya kuahirisha bunge waliopinga lisiahirishwe ni wengi ìla spika alipotezea
Watanzania wa leo sì watanzania wa A.s.p wala Tanu ni watanzania walioelimika na kujua haki zao,so pinda kama kalìfungia macho akifumbua atakuwa kwa lowasa. Ni bora ufe umesimama kuliko uishi ukiwa umepiga magoti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.