Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

apunguze masturbations....pole ila inakuaje round ya pili nayo hivyo hivyo au?:doh:
 
kwanza kabisa naamini hamna lisiloweza kutibika katika sekta ya kufanya mapenzi kila kitu kinatakiwa kianze kuandaliwa katika fikra kwanza, we mdau wa mada kwanza kama umeshamjua mpenzi wako tatizo lake inabidi kabla ya kukutana anza kujiandaa kifikra weka fikra zako zote katika mpenzi wako na mambo ambayo ungependa mfanyiane ambayo yatakusisimua wewe kihisia na mwenzio pia, hata mnapoanza romance iwe hata akuguse mikono tuu we unasisimuka, then mpeane mahaba kwa njia ya maongezi kwanza,, chezeni kama watoto eg kutekenyana kupigana mito etc, kisha baada ya hapo mwambie mpenzi wako kua asiweke mawazo yake katika kukuduu mda huo wakati huo wewe ndo uwe unazifuta hisia zote za mapenzi,, then anzeni kamchezo taratibu na si lazima iwe chumbani hata sebuleni tuu hata ikitokea akapiss ya kwanza we endelea kumpa massage na kumuingiza tena kwenye mood am sure hato piss haraka kwa mara ya pili......... All the best:smile:
 
Habari wandugu,mim nimevumilia sana tabu hii naona nakaribia kuchoka ...Tatzo ni mpenzi wangu anashindwa kuniridhisha kila 2kifanya mapenzi hata dakika 8 hazifiki tayari anafika MSHINDO, sometimes he ejaculate during romance, am fade up with this situation kwa kuwa hata siku moja sijawahi kusikia km nimeduuu'.

Nikimwambia anasema anajitahidi lakin anashndwa nikimshauri aende kwa doctor anasema hawezi kupeleka mambo km hayo hospital......nisaidieni jamani isitoshe 2nampango wa kufunga ndoa lakin mim hata hamu ya NDOA IMEISHA kwa sababu hii.

Wewewachekesha sana na huna shukrani! wenzio wanatafuta walau wadakika tatu wanakosa!!!!!kama zipo tafuta namna yakuzifaidi wengi wa vijana wa leo hawa hata za dk 3
 
Wewewachekesha sana na huna shukrani! wenzio wanatafuta walau wadakika tatu wanakosa!!!!!kama zipo tafuta namna yakuzifaidi wengi wa vijana wa leo hawa hata za dk 3


kaka kumbe umeliona hilo!
Labda mimi nimsaidie kitu kuwa mnatakiwa msaidiane maana ni kitu kimoja japo hamjafunga ndo! Maana hayo ni matatzo yanayo umiza sana kichwa hata yeye anaumia sana kisaikolojia! Ila kumbuka HAKUNA ALIYEKAMILIKA! Hasa msimu wa miaka ya sasa vyakula,uvutaj wa sgara,pombe,na mambo kadha wa kadha
istoshe wewe ndo unayempikia sembe na nyama ya ng'ombe mafuta yanaelea
istoshe ndo unamshawish mkanunue chips na mayai ya ksasa pia unaenda sokon matunda uliyobeba ni kalot tu af zote unaungia mboga unaishia kuonja mwenyewe kama tunda! Kumshaur kwenda kwa dr ni jambo zuri tu kujua nini tatzo after then vyakula,dawa asilia na mazoez maalum ya misuli!

yaan wewe ukipanik ndo unamuumiza kabisa af mwisho wa siku mnaachana na kwenda kwa mwingne ambaye we unaona anafaa na ana mashine kubwa balaa na hajui kuandaa na anasimamia basikel dk 60 na na anawanawake wewe wa sita!
Ridhika na huyo jaribu kukaa naye kama rafiki na msolve prblem! Nasema hivyo kwa uchungu coz yalishawah kunikuta kama mwanaume tena bora huyo
dk 8 iliniumiza sana!
 
...Wakuu nini dawa ya hili tatizo..najua linawagusa wengi sema tu hatupendi kuwa wazi..
Ila kwa vile hapa twatumia vivuli sidhani kama kuna haja ya kuficha...

Ishu yenyewe inayotusibu wanaume wengi sasa ktk mahaba ni kumaliza mapema... Yani unaishia tu kumchafua mpenzio wakat bado yu bariidii...

Wanaume wenzangu hii ni aibu na fedhea kubwa..

Naomba msaada wa kitiba...niepukane na kudharauliwa na mabint..

Kama na wewe una mapungufu haya sema... ''NDIOO''..
Kama ulikua nayo yakaisha sema ''SIOO'' na utoe tiba.

Mchango wako Mdada ni wa muhimu hapa...

Nawasilisha..
 
kegel exercise ndio jawabu la uhakika kwa wote wenye hili tatizo
OTIS
 
Hili limejadiliwa sana hapa JF.....ivi unashindwaje kukontroo kakitu kadogo kama hako....make ur woman happy bana
 
Mara nyingi inasababishwa na haya ila wengi hawajui na ukiweza kuyafanyia kazi then you'll be good

1.Stress
2.Fear
3.Anxiety
4.Depressed Mind
5.Unhealthy Diet
6.Smoking
7.Alcohol Consumption
8.Differences with your partner
9.Lack of muscle strength
10.Lack of confidence
 
Wacha kutazama K mana ukisha itazama sana inakutia aibu,..wewe chomeka kama vile kipofu, afu chochea ukiona unakaribia kufika kabla ya mwenzako slow down, mpaa akuambie nimeisha fika na wewe jitahidi ufike :A S shade:
 
Mara nyingi inasababishwa na haya ila wengi hawajui na ukiweza kuyafanyia kazi then you'll be good

1.Stress
2.Fear
3.Anxiety
4.Depressed Mind
5.Unhealthy Diet
6.Smoking
7.Alcohol Consumption
8.Differences with your partner
9.Lack of muscle strength
10.Lack of confidence
The Finest, mimi napingana na wewe hapa...Hebu jaribu kugonga konyagi za kutosha halafu uingie kwenye game uone!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom