Shida ya wanawake wa sasa wanatafuta mfanyakazi au mfanyabiashara kwenye ndoa. Badala ya kutafuta mume ndiyo maana hamuolewi.
Hata akikuoa siku akifukuzwa kazi au biashara zikiyumba utamkimbia. Mnatanguliza masilahi mbele kuliko utu.
Kumbuka ndoa ni maisha halisi.
Kuna kufukuzwa kazi...
Mrejesho mkuu?
Ushauri wangu wewe bado kijana Kama unatumia vilevi kujipunguzia mawazo acha kabisa.mshukuru Mungu utapata mke wako wa ndoto huyo muache miezi 2 Kwa wanawake ni ndogo sana isitoshe ulikuwa unaenda mara Kwa mara.
NB:muheshimu Kama mama wa watoto wako 2 Ila Kama mke hapana hafai...
Samahani mkuu Kwa hilo umenikera sana.wanaume ni majasiri katika familia zao Siri za chumbani zinabaki chumbani wana JF wengi hatujuani sio mbaya sana. mueke chini mkeo akuambie ukweli Kwanza usikurupuke Kwa kila mtu kumuelezea mambo hayo
Mkuu! Hayo yote nimekuachia mwenyewe Ila kuhusu kipengele cha #ushauri umenigusa mno kuanda Safari ya ulaya si chini ya 10m halafu sio kwamba ni guarantee ukifika unapata kazi
#Tips hamna binadamu asiyependa kuishi vizuri tatizo dunia haiko fair wao wanakuja kuchukuwa visa vingunguti tukitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.