Recent content by Charlez kanumba

  1. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Nimfuate vigezo gani ili niwe mfanya biashara mkubwa Afrika?

    Nini nifanye niwe mfanya biashara mkubwa kama moo dewji, Bakhressa n.k, niwe na kiwanda kinachozalisha products zangu zenye brand yangu barani Afrika ambazo zitafanya vizuri sokoni, at the end niwe tajiri kupitia biashara?
  2. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

    Balehe mbaya sana, nikiwa 4m1 nilimpenda madam wangu siku moja nikamvizia akiwa peke yake staff nikaingia nikamwambia ukweli, alooo kwanza aliniwasha makofi huku akipiga kelele akisema " wewe mtoto nitakulaani" kesho yake iligongwa kengele ikaitwa bodi ya shule,Afisa elimu, walimu walikusanyika...
  3. Charlez kanumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kabla hujamtongoza anakuwa amesha tambua lengo lako kupitia lugha ya macho

    Makasiriko tu kuoga aah
  4. Charlez kanumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kabla hujamtongoza anakuwa amesha tambua lengo lako kupitia lugha ya macho

    ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni. Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
  5. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

    Unaandika utumbo na hujala we , toka na pigo zako za kifala we dudududulu 🎶
  6. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wamezoea shida mpaka kuziona kama ni raha

    Huyo rafiki yako ana akili kama za mwalimu wa hisabati, ungemtia hata mtama.
  7. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuwaenzi Waandishi wakongwe kwa njia ya kuweka misemo au nukuu maarufu kupitia vitabu vyao

    Oprah my wife! Oprah my wife! Opraaaaaah! by _Ray kigosi
  8. Charlez kanumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu nimeota nafanya mapenzi..

    Kwahiyo ulilamba UTI iliyochanganywa na asali🍯?
  9. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

    Soon nitawaambia nilipataje ajira bila ya connection.
  10. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu zimepotelea wapi?

    January to December pafupi sana, subiri upigike hata 10yrs mtaani ndio utaelewa.
  11. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

    Hiyo ipo wazi alikuwa mtoto wa kimasikini tu asiye na mjomba waziri wala mbunge katika ukoo wake, lakini alifanikiwa kuwa waziri mpaka uraisi, tofauti na vijana wa leo wanaamini kama huna ndugu mwenye cheo huwezi kupata hizo nafasi.
  12. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoanza kuwa mtu wa mazoezi ya mwili/ push ups mpaka kuwa na sexy body

    Sio kwa mkupuo ni kwa set, set moja napiga 20 naenda hata set 6
  13. Charlez kanumba

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyoanza kuwa mtu wa mazoezi ya mwili/ push ups mpaka kuwa na sexy body

    Nakumbuka nilianza kwa kuning'nia juu ya paa la nyumba kisha kupush mwili wangu ups&down, then push ups 80 hadi 120 kila siku. Nikawa nachelewa kuamka sababu mazoezi sikuyazoea hivyo nilikuwa nasikia uchovu sana na mgongo pamoja na mbavu ziliniuma sana. Ilipo timia miezi 3 tangu kuanza...
Back
Top Bottom