Nianze kwa kukupongeza Mh Makonda kwa juhudi zako katika kufuatilia kero za wananchi wako. Baada ya kuonekana taarifa ya Bw. Amos wa Kivule akizungumzia kero ya barabara ya Kitunda - Kivule, nimeona umetembelea na kuongea na wananchi wa eneo husika. Hii ndio ilitakiwa kufanywa na watendaji wako...
Jana nilipokea simu toka kwa Milard Ayo wa Clouds Media akinitaarifu nimekua mshindi katika moja ya michezo ya kubahatisha....TZS bilioni 1.
Akaniuliza swali moja “utaifanyia nini hii pesa??” Nikamwambia kwa adha ya barabara ninayopata, najitolea pesa yote hii itumike kwa ujenzi wa barabara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.