Acha pumba, kupewa msaada wa kiwanja ni suala la kidiplomasia(strengthening of relationship) lazima morocco iache alama ya kudumu, ni heri ungetumia mfano mwingine sio wa morocco..kumbuka morocco alikuwa amejitenga na AU, sasa katika kutaka kurudi kwake alibidi atafute nchi zenye nguvu za...
Hata kama umechezwa tunachotakiwa kuangalua ulilenga nini? Je ni mchezo wakizalendo au wakinafki?? Binafsi kama ni kweli basi nichukue fursa kuwapongeza vijana wa chama na wahusika walioshiriki kwa kutanguliza utaifa mbele. Maana tunachihitaji hapa ni utaifa mbele
Kenya wanakuja kwetu kuomba mahindi....hahahaha very stupid wameuza mashamba yao kwa wazungu wanao lima cashcrops kama tea na kuexport baada ya kulima mahindi,maharage, mchele na nafaka zingne wanabaki kulima tea,coffee, etc na kuishia kuexport...huo ni utumwa (slavery) ya hali ya juu... Kenya...
A stupid kenyan thoughts, sikujua kama wakenya ni wapumbavu kiasi hiki, hivi hata kama tungekopa ndege si bado ingeshikwa tu, hebu tumia akili we mkenya mwenye wivu
South africa hawana makosa!! Ishu ya kwenda ubalozini kuandamana ni kuwafikishia taarifa regime(serikali) kuwa itumie mbinu zote za executive power kuhakikisha kuwa uhusiano wetu wa kidiplomasia usiharibiwe kisa beberu mmoja
Swala likiwa mahakamani haimaanishi kuwA watu wasiandamane, kilichofanyika nikuonyesha nationalism bila kujali huko SA wanajiendesha vipi kupitia mihimili 3 ya power....linapokuja swala la nationalism hatuangalii mihimili tunaangalia jina la Nchi vs. Whom? Hao whom watajijua wenyewe!!!
Naunga mkono wote walioshiriki maandamano..kama hoja yao ilikuwa juu ya kodi basi ni sawa maana hela ilizo nunua hzo ndege zinatokana na kodi zetu sasa sitaki kujua ni nani ameratibu, awe makonda, au ccm, au taasisi yeyote ninachoamini wote ni watanzania wenzangu
siyo kwamba wafaransa wanashida ya Mali zilizopo nchi ya Mali ila wanataka kusaidia Baada ya shinikizo lililotolewa na Baraza la usalama la umoja wa mataifa kwamba nchi ambazo zilitawala hazina budi kuzisaidia makoloni yake..Mfano Tanzania kuna kipindi Nyerere alitaka kupinduliwa na wanajeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.