Hotuba ya Raisi wetu Jakaya Kikwete nimeisikia na kumuelewa vizuri kabisa, hasa juu ya Muungano wetu na wazo letu juu ya serikali mbili au tatu. Kwa mawazo yake na chama chake, muundo wa serikali mbili ni bora zaidi kuliko serikali tatu. Kwa ushauri wake akasema ili kutatua kero za muungano ni...
Mkuu wazo lako ni jema. Lakini kimepitwa na wakati, kama tamko la CCM kuhusu mgogoro wa gesi ya Mtwara. CCM wanatoa tamko juzi baada ya watu kufa na kuharibiwa mali zao. Wazo zuri ni Serikali kutoa RUKSA kama uamuzi wa Mh. Rais mstafu Mwinyi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.