Recent content by Charles Gerald

  1. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hahaha. Hili jamaa nami nilishalistukia. Waarabu wanampenda sana. Post zake ni kusifia nchi za kiarabu na kuponda Israel na washirika wake.
  2. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Wanaojua Kiingereza tu: Karibuni tuchati kwa Kiingereza

    Simba sports club must be deducted 15 points, and YANGA have to be awarded three points and three goals. Simba must face the consequences of violating the rules and regulations set by football body Reality
  3. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Asante sana Trump kwa kuliweka hili wazi wazi kwamba katika vita yoyote anatanguliza maslahi ya Marekani

    Kweli, we mtoa misaada anakukataza usimpige aduli kwenye eneo lake.
  4. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

    Acha wapate wanachostahili. Kosa la kwanza ni kumkosea Mungu kumlinganisha na wanadamu na kumpigia kura, Mungu sio mtu.
  5. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Thibitisha Mungu kama Yupo?

    Hujathibitisha bado, thibitisha kuwa Mungu yupo?
  6. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Urusi yadondosha vipeperushi kwa wakazi wa Kiev, na kuwaonya kuondoka majumbani mwao la sivyo wakabiliane na mashambulizi ya anga

    Mkuu mbona kuna bango la Nasrallah na watu wamevaa hijab
  7. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

    Baltasar ni wa equatorial Guinea, sie tuna cheza na Guinea
  8. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Manara hajawahi kushiriki matamasha ya walemavu wa ngozi na hataki kutoa ushirikiano anapohitajika

    Hahaha, kuna mzee kwetu Ana kitu kama nundu mgongoni sijui ndio kibiongo. Walemavu walitafutwa ili wapewe machine ya kusaga nafaka, jamaa alikataa katakana yeye si mlemavu, anasema hawezi kuwa mlemavu wakati anabeba gunia, wenzake walivyopewa mashine jamaa akataka ajiunge nao tena kwa nguvu...
Back
Top Bottom