Recent content by chariti

  1. chariti

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania mchumba wangu je nimsamehe niendelee na mipango ya ndoa?

    Ndoa iwe mwaka huu uu nyau wewe acha kuchunguza bata
  2. chariti

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini kuaga dunia kwa utetezi wenye kurasa elfu moja kizimbani.

    Je Unalipwa kueneza chuki?? sisi sote ni watanzania sifurahii mtanzania kuteseka, hata sisi tunataka kuishi kama Singapore unapata faida Gani kushangilia mateso ya mtanzania mwenzako sababu sio babaako sio au sababu ana mtazamo tofauti tijiponye cheers.
  3. chariti

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Apigwa risasi baada ya kujaribu kupora bank

    Hiyo ndo bongo nyoko
  4. chariti

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Apigwa risasi baada ya kujaribu kupora bank

    Daah bongo nyoko
  5. chariti

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Na Mimi Leo ni dokita kwakweli cjapenda kipigo cha dokita mwenzetu sisi ni binadamu wenzenu daa Tanzania yangu jino kwa jino
  6. chariti

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wengi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi hatupati stahiki zetu, pia kuna mazingira ya upendeleo

    Tuendelee kula Kwa urefu WA kamba zetu au watanzania tuchape kazi tuache kulalamika
  7. chariti

    JamiiForums Tanzania MTANZANIA kumuoa mtoto wa rais Ruto wa Kenya

    Dah hongera zake sana sio kitu kidogo kupata Fursa ikulu kongole isaya
  8. chariti

    JamiiForums Tanzania Benki ya NMB imenitumia Shilingi 10,024,061,002,406 kimakosa

    Ungetoa trillion 1 kwenye magunia na sandarusi umetuhuzunisha sana ndugu zako miaka 35 jela pesa ungerudi ungeikuta Sasa ulichofanya tutakufa masikini nyau wewe
  9. chariti

    JamiiForums Tanzania Botswana na Namibia ni nchi tajiri zaidi barai Afrika, msikate tamaa tunaweza!

    Hakika tumelogwa
  10. chariti

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Mbeya Sio Jiji ni Mkusanyiko wa Vijiji Vikubwa. Haina Miundombinu na Mzunguko wa Pesa ni Mdogo

    Kaka mwabukusi ametisha haiwezekani nimetafuta pesa Kwa tabu sana na sina sehemu Kwa kwenda kuzitumia nikiwa mbeya pamepoa yaani ndugu zetu wameshindwa kabisa kutunga sera wezeshi hata wasiopotoa hela watengeneze mifumo mbeya ikue ichangamke
  11. chariti

    JamiiForums Tanzania Mnyika: CHADEMA Haijafanya Mazungumzo na Serikali, Yapinga Kauli ya Rais Samia Lissu kutafakari

    ngoja niendelee kukimbizana na ngedere hapa shambani kwangu, ACHA porojo kaka paskali
  12. chariti

    JamiiForums Tanzania Mambo yamebadilika; Tunaishi kwenye dunia ambayo watu walio tayari kutoa msaada ni wengi kuliko wanaohitaji kusaidiwa

    Bila shaka hata nikifika jalalani kwako nitatoka kama nimetoka shopping fanikisha muamala tajiri
  13. chariti

    JamiiForums Tanzania Mambo yamebadilika; Tunaishi kwenye dunia ambayo watu walio tayari kutoa msaada ni wengi kuliko wanaohitaji kusaidiwa

    Duuuuuuuuu tuma hata 200000 mwanao nikachukue cheti veta kuthibitisha maneno yako
Back
Top Bottom