Sijui kama anamjua anaemwongelea. Wapenzi wa muziki wanajua ROMA hajatoa wimbo unaomhusu Rais Magufuli.
Mtu aliyempiga Rais kwenye mashairi yake ni Ney wa Mitego na alikamatwa ila serikali yenyewe ikaamuru aachiwe.
kama unajenga nyumba mahali udongo unapatikana wala usihangaike na tofali za cement. Tofali za kuchoma ni nzuri zaidi ila tu udongo uwe mzuri usiwe na mchanga mwingi na ziive vizuri.
.
>>>Juzi usiku siku ya jumamosi, watu wetu wa usalama wa chama walinijulisha kwamba Jeshi la Polisi wananitafuta, wakaenda nyumbani kwangu na magari manne kunikamata bila kufuata utaratibu.
>>>Jumanne iliyopita Kamishna Wambura alinipigia kuniomba nifike polisi (Lakini) Hii ya Jumaamosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.