Nyie watu wa buku7 naona mnajitekenya wenyewe.. peleken mahakamani dhambi zenu zote zilizowahi kuanikwa na kubenea zikiwemo ushahidi wa utekaji na utesaji wa binadamu watanzania wenzenu ili pia mlipwe.. mbona hizo hampeleki mkaishia kufungia gazeti tu??? Mliogopa nin???
Kibaraka siku zote huwa hakubali. Hata alipogundulika kuwa ni mradi wa ccm anapatiwa millions of money kwa ajili ya kukihujumu cdm, alikana hiv hiv kama anavyokana umbea aliompelekea jk kuhusu mengi. Mojawapo ya sifa za mtu kibaraka ni muongo, mzandiki, mmbeya. This guy is so stupid.
Kajinga sana hako kajamaa. Eti kanajinasibu kuwa ni kazelendo, uzalendo wapi wkt akiwa mwenyekiti wa PAC kahongwa sana ili kukwamisha ukweli kujulikana ktk tuhuma zilizohusu vigogo kwenye kampuni mbalimbali. Nakamilisha kukusanya details zenye ushahidi wa kila namna huyu jamaa alivyo mhujumu...
Hiyo mikutano ya ACT kuwa na Watu wengi isikupe mzuka mkuu. ACT wanatumia strategies zile zile wanazotumia mabwana zao za kusomba Watu kwenye malori. Thus, mabibi+mabwana ni kitu kile kile. Nitakushangaa kama utatofautisha ACT na CCM.
chadema kiboko yao.. sijui sahv akina mchemba wanakuja na mkakati gan tena baada ya propaganda zao za ukanda, ukabila,udini, ugaidi, kutumia wasaliti kama akina zitto kabwe kushidwa.. mtaumiza vichwa sana. adui yenu ni watz wenyewe mnaposhindwa kuwatatulia kero zao na siyo chadema.. chadema wao...
kaka nchemba mikakati yako ya kusagizia watu ugaidi imeishia wapi au unaandaa mkanda mwingine?
chadema ni sawa na chuma cha pua, intelligensia yao ni tamu sana kama ilivyo nyuma ya mgongo wako. ilibaini mkakarti wako wa kusakizia watu ugaidi na hiv sasa imebaini mkakati wa huyo mwenzenu zitto...
kaka kabwe huaminiki tena siku hizi. kwa wenye akili tumeona wazi wewe umejipambanua kuwa unatumika kwa ajili ya kuidhoofisha chadema. pamoja na kwamba unakuja na porojo, lkn muonekano wako wa matendo ni kwamba unatumiwa na ccm kuhujumu chadema. hata kama utaamua kuendelea kuwa mwanachama wa...
Mkuu wangu umeongea vizuri sana,yaani vijana wengi wa Kitanzania au Watanzania tulio wengi kwa ujumla ni kama vile hatujui kabisa kufikiria vitu ambavyo ni critical!imagine mtu aliyeleta hoja hii anaejihita Taswira ni kiongoyi wa chama tawala ajulikanaye kwa jina la Mwigulu Nchemba,sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.