Mkutano mkubwa wa CHADEMA kutikisa jiji la Mbeya

Mkutano mkubwa wa CHADEMA kutikisa jiji la Mbeya

kamanda wa kamanda

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
191
Reaction score
75
Chama cha demokrasia na Maendeleo kitafanya Maandamano makubwa ya kiistoria yatakayo anzia maeneo ya Mafyati hadi kwenye viwanja vya Docta Slaa Ruanda nzovwe ambako kutakua na mkutano mkubwa ambao atahutubia katibu kuu taifa Docta Wilbrod Slaa watu wotey mnakaribishwa.
 
mmmmmmmmh,,, kwani mkuu tanzania kampeni zimeanza???? kama bado nani anajenga nchi sasa,, toka uchaguzi 2010 uishe kila siku mimi nasikia maandamano tu na mikutano ya siasa. acheni bana watu watafute riziki zao hivyohivyo kiugumu kama africa yote ilivyo na sio kuwanywesha sumu...

CDM + CCM + CUF bado sana,, wote njaa tu.... siku watz wakiamka watalijua hili, tupige kazi,, mtu akituzingua kwa pamoja sheria mkononi,, piga mawe, chupa na chochote kila popote aonekanapo.. hii inaweza saidia kunyoosha tabia za watu....
 
heeee, na huku zanzibar nasikia pia kutakuwa na maandamano makubwa na ya kihistoria jumamosi ya tarehe 25 mwezi huu.maandamano hayo yameitishwa na CUF kutoa msimamo juu katiba mpya kabla ya bunge la katiba.
 
Tunawatakieni kila la heri wana Mbeya ni moja ya maeneo wanaojitambua embu tusaidieni kuikomboa hii nchi toka mikono ya wakoloni weusi viziwi wasiosikia na wasiojali wananchi kila mmoja wetu kwenye nchi hii ni Kilio
 
Nimemsikia jana mzee wa upako waziri mkuu wa mbeya kuwa jmosi ni shamra shamra tupo pamoja makamanda
 
Chadema twangaaaaaaaa hao CCM........Dr. Slaa garagazaaa hao Magamba.........

Huku Operesheni Daima Pamoja

Huku Operesheni Chadema ni Msingi.....

Huku Dr. Slaa anachinja magamba........Ni Shidaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!

CDM ni Mpango Kamili wa Mungu...
 
chadema kiboko yao.. sijui sahv akina mchemba wanakuja na mkakati gan tena baada ya propaganda zao za ukanda, ukabila,udini, ugaidi, kutumia wasaliti kama akina zitto kabwe kushidwa.. mtaumiza vichwa sana. adui yenu ni watz wenyewe mnaposhindwa kuwatatulia kero zao na siyo chadema.. chadema wao wanatake advantage ya uzoba wenu tu
 
PAMOJA DAIMA Makamanda! people'zzzzzzzzzzzzzzz!!!
 
Back
Top Bottom