Recent content by chapakazi878

  1. C

    JamiiForums Tanzania JKT watangaza nafasi za kujitolea

    inawezekana ikawa tarehe 2 au tarehe yoyote ya week hiyo ya tarehe 2
  2. C

    JamiiForums Tanzania JKT watangaza nafasi za kujitolea

    ww upo wilaya gani?
  3. C

    JamiiForums Tanzania dah hii inauma sanaaaa kuhusu NSSF

    Jamani vijana tukimbilie wapi? Tanzania inazidi kutubana kila kona. Sasa mafukara ndo watabaki kuwa mafukara milele coz tukisema kujiajiri mikopo ipo wapi? Wangetenga hata fungu dogo kila mwaka watoe mitaji kwa vijana 20,000 na hili linawezekana kabisa. Kwann zinapatikana 78 bilion za kugawana...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Jamani humu ndani ni shidaa....mtu akiuliza swali utani unamuhusu.....lol
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali kuitwa kazini

    Kwa mfano wilaya ya simanjira haina mahakama. Ndo juzi kati nlipata taarifa wanaanza mchakato wa kujenga mahakama! Sasa hawa mawakili si ndo vituo vyao hivyo? Pia kuna wa2 tunasubiri kuitwa interview ya utumishi, kuna Afisa tawala na Wa2 wa IT. Sasa sijui hii imekaaje?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mambo 70 muhimu ya wananchi yaliyofutwa katika Katiba Inayopendekezwa

    Mungu tusaidie, nchi yetu inanuka kila kona. Ila hata kiimani ktk dini zetu haisemi watu kuwa wapole hv, ipo siku Tz itaamka kutoka usingizini/ gizani na woga utaisha....hakuna atakayejali kuumia wala kufa. Kila jambo lina mwanzo na mwisho
  7. C

    JamiiForums Tanzania Interview Tume ya Utumishi wa mahakama ya Tanzania

    nimekuelewa mkuu
  8. C

    JamiiForums Tanzania Interview Tume ya Utumishi wa mahakama ya Tanzania

    Ahsanteni kwa ushauri wakuu ila kuuliza siyo vibaya coz kwa sasa nimepata picha mpya kama hii ya kuchelewa kuitwa kazini.....
  9. C

    JamiiForums Tanzania Interview Tume ya Utumishi wa mahakama ya Tanzania

    Jamani hii ni week ya 2 sasa tangu deadline ya tangazo la Tume ya utumishi wa mahakam, vipi kuna yeyote mwenye habari kamili kuhusu interview ya Tume ya Utumishi wa mahakama itakuwa lini?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ingia kwenye hii website....Herballove.com | Herbal Remedies & Sexual Health Guide au andika2 kwenye google (herballove) utapata majibu mkuu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Walioitwa Kwenye Usaili wa Jeshi la Zima Moto

    jamani walioitwa tupeane maujanja basi kama kuna m2 anafaham lolote kuhusu interview zao
  12. C

    JamiiForums Tanzania PCCB:Magunia yatumika kubeba Barua za maombi ya kazi...

    Wapo wa2 hawajaweka chet cha std7 wala hawajacertfy vyet ila utawakuta oficn muda ukifika. Tanzania imekuwa kujuana sana ktk ajira
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi za jkt

    jamani hizo za mwezi wa sita mwanzoni na sisi 2naomaliza masomo mwezi wa sita mwishon watatuchukua au ndo hadi mwakani?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nafasi za jkt

    sasa yawezekana JKT uingie na usiingie JWTZ? au inakuwa ni option? naomba ufafanuzi mkuu
Back
Top Bottom