Recent content by CHAPA2015

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wanafunzi Elimu ya Juu Kupelekwa Mahakamani,Mwigulu asimama na Wanafunzi

    MWIGULU NA SAKATA LA WANAFUNZI KUPELEKWA MAHAKAMANI, Wanafunzi wa Vyuo vikuu nchini wasema, Mwigulu Nchemba ni mtetezi wa kweli wa Wanyonge, anaitwe SOKOINE WA PILI RASMI. Kauli ya Ndg Mwigulu Nchemba kuwa wanafunzi wanaotuhumiwa kufanya migomo wasipelekwe MAHAKAMANI kimepokelewa kwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Katika kutimiza miaka 40, Mwigulu atoa zawadi ya damu kwa Watanzania

    Mwigulu Nchemba Akumbuka yatima, wenye uhitaji siku yake ya kuzaliwa *Awataka wenye uwezo kusaidia makundi hayo Claudia Kayombo WATOTO yatima na makundi mengine yenye uhitaji maalumu wanatamani huruma ya wengine wakati wote, badala ya nyakati za sikukuu pekee. Wanahitaji huruma kwa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Sio nafasi ya wazee
  4. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    U fall in for sure
  5. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Anza Process hata wa Palestina unakufaaa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Teh teh Noma sanaaaaa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Limbu,Mbatia,Cheyo wamtaja Mwigulu kuwa Rais ajaye,Wamuonya asiwaangushe

    Na Lucas Mponji. Ikiwa na siku chache tu tangu Comrade Mwigulu Nchemba atimize miaka 40(7.01,1975),Miaka inayompeleka moja kwa moja kuwa Mtumishi wa Umma wote wa Watanzania katika nafasi ya Urais. Dr Festus Limbu ambaye ni Mbunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ameamua kujilipua, amesema...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Taswira ya Mkutano wa Mwigulu Ukerewe hii leo,ni wazi CHADEMA haipo 2015

    Mwigulu Nchemba akiwasili Ukerewe hii leo mapema asubuhi. Comrade Mwigulu Nchemba akiwaombea kura wogembea wote wa CCM-Ukerewe,Kubwa ni kwamba CCM ndio chama chenye Ilani inayotekelezwa hadi sasa,Na Ilani hiyo kwa asilimia kubwa imetekelezwa Nchi nzima,Hivyo wananchi waendelee kukiunga...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba apokelewa Kifalme Rulenge-Ngara

    sURA YA MWANAUME HIYO,Sio yakwako kama dada yangu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba apokelewa Kifalme Rulenge-Ngara

    Mwigulu ni habari nyingine,Ndiye next TP
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba apokelewa Kifalme Rulenge-Ngara

    Pole sana naona Msumari umekuchoma kunako
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba apokelewa Kifalme Rulenge-Ngara

    Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akisalimiana na Wananchi wa Rulenga hii leo alipofika Kufunga Kampeni.za Uchaguzi wa serikali za. Mwigulu Nchemba akisisitiza Wananchi kuwasimamia Viongozi watakao wachagua,kufuatilia mienendo yao. Hakuna kiongozi wa Nchi hii atakaye iba mali ya Umma na akajisifia...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atikisa Meatu Mjini hii leo,Wananchi wabeba Mabango haya hapa

    Comrade Mwigulu Nchemba akiwaisili Meatu Mjini mapema hii leo asubuhi kuzungumza na Wananchi. Hisia za Wananchi wa Meatu Mjini kwa Mwigulu Nchemba Kueleka Uchaguzi wa serikali za Mitaa Meatu wanasema hivi.....!!!Naibu katibu Mkuu CCM Bara akivalishwa vazi la Kisukuma hii leo kama ishara ya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mwigulu alivyotikisa busega leo,mwenyekiti wa act wilaya aamua kuhamia ccm

    Naibu katibu Mkuu akisalimiana na watoto waliofika Kumpokea Kijiji cha Nyamikoma-Busega. Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha nyamikoma-Busega hii leo. Mwenyekiti wa Mkoa wa SIMIYU wa CCM akiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT wilaya ya Busega. Mwigulu Nchemba akipokea...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Picha,Mwigulu aiteka Mwanza hii leo, Wananchi Wamesema hawatarudia makosa 2015

    Mapokezi ya Mwigulu Mwanza jioni ya leo tar 12.12.2014 Viwanja vya shule ya Msingi Mabatini. Mwigulu Nchemba akiwasili Viwanja vya Mabatini akiwa amongozana na Mwenyekiti wa Geita Ndugu Joseph Msukuma. Wananchi wakifurahia Ujio wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Comrade Mwigulu Nchemba. Mwigulu...
Back
Top Bottom