Taswira ya Mkutano wa Mwigulu Ukerewe hii leo,ni wazi CHADEMA haipo 2015

CHAPA2015

Member
Oct 1, 2014
57
0

Mwigulu Nchemba akiwasili Ukerewe hii leo mapema asubuhi.

Comrade Mwigulu Nchemba akiwaombea kura wogembea wote wa CCM-Ukerewe,Kubwa ni kwamba CCM ndio chama chenye Ilani inayotekelezwa hadi sasa,Na Ilani hiyo kwa asilimia kubwa imetekelezwa Nchi nzima,Hivyo wananchi waendelee kukiunga mkono.

Mwigulu Nchemba akiagana na Wakazi wa Ukerewe mapema hii leo asubuhi mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Kufunga kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa.

Mmoja wa Viongozi wa Kidini akisalimiana na Mh:Mwigulu na Kumpongeza kwa namna alivyowafungua macho kuhusu Mabadiliko kwa Vitendo na sio Vyama.

Farudume

JF-Expert Member
Jan 10, 2013
3,953
2,000
Huku site watu wanasema maisha bora kwa kila Mtanzania hawayaoni ila wanayasikia kwa kina Rugemarira,Singasinga na Maswahiba wao ambao wengi ni wanaccm wa vyeo vya juu.
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,524
2,000
Mwigulu ni laghai tu wa kisiasa, kama ana uchungu na nchi hii apendekeze mafisadi wote waliokwapua mabilioni ya escrow kama kina chenge wavuliwe uanachama wa ccm! Vinginevyo ni blah blah tu!
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Mwigulu ni fisadi wa fikira, alikuwa wapi wakati ESCROW inatokea??? urafiki wake na ZZK ndo ulifanya wizara ya fedha isihusihwe na ESCROW wakati BOT IKO CHINI YAO
 
ganda

JF-Expert Member
Nov 10, 2014
468
195
Noma, anapunga mkono kwa nguvu zote, lakini wanamwangalia tu. Inaonekana hawakuja kumsikiliza walikuja kumshangaa bwana escrow
 
Robert PR

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
591
0
Huku site watu wanasema maisha bora kwa kila Mtanzania hawayaoni ila wanayasikia kwa kina Rugemarira,Singasinga na Maswahiba wao ambao wengi ni wanaccm wa vyeo vya juu.
Ndio maana tunakiwa kumuomba mwigulu mkombozi wetu na sauti ya wanyonge atupiganie kwa kugombea urais mwakani!
 
Robert PR

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
591
0
Mwigulu ni laghai tu wa kisiasa, kama ana uchungu na nchi hii apendekeze mafisadi wote waliokwapua mabilioni ya escrow kama kina chenge wavuliwe uanachama wa ccm! Vinginevyo ni blah blah tu!
Kaishachukua hatua kwa mafisadi na kusema kwamba kuwaruhusu tu wajiuzulu ni kuwapa likizo wakatumie pesa walizoiba na badala yake wafilisiwe!
 
Robert PR

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
591
0
Mwigulu ni fisadi wa fikira, alikuwa wapi wakati ESCROW inatokea??? urafiki wake na ZZK ndo ulifanya wizara ya fedha isihusihwe na ESCROW wakati BOT IKO CHINI YAO
Wakati wizi unatokea mwigulu alikuwa mbunge tu wa kawaida. Waziri alikuwa Mgimwa, na naibu alikuwa mkuya!
 
afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,085
2,000
Ndio maana tunakiwa kumuomba mwigulu mkombozi wetu na sauti ya wanyonge atupiganie kwa kugombea urais mwakani!
Kwa hiyo mna uhakika kuwa CCM itashinda sana maeneo aliyopita Mwigulu tu. Maana kwingine tumeona wagombea wenu wamelazimika kufanya kampeni za nyumba kwa nyumb tu.
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,448
2,000
Wakati wizi unatokea mwigulu alikuwa mbunge tu wa kawaida. Waziri alikuwa Mgimwa, na naibu alikuwa mkuya!
Baada ya Kuingia Uwaziri Je? hatuongelei muda mtu alikuwa huko kwao anachunga mbuzi ni muda amepata madaraka alifanya nini? Isingekuwa PAC na Kafurila je angeekaa kimya?
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,657
2,000
Huyo polisi anayemsindikiza kiriba tumbo kimezidi, sijui mara ya mwisho kufanya mazoezi ilikuwa lini?! IGP angalia hayo
 
ganda

JF-Expert Member
Nov 10, 2014
468
195
Wakati wizi unatokea mwigulu alikuwa mbunge tu wa kawaida. Waziri alikuwa Mgimwa, na naibu alikuwa mkuya!
. Mawazo ya mtu mwenye akili ndogo. Wakati wizi unatokea Mwigulu alikuwa kiongozi aliyekuwa anakashifu sana watu waliopiga vita ufisadi. Je akina Kafulila, Zito na wengine wa aina hiyo wanaoibua uovu ni mawaziri?
 
the say

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
1,916
2,000
picha hizihizi wameandika ruhenge biharamulo yaani escrow hadi picha?
Mkuu hapo ni ukerewe kabisa Niko mwanza lkn nilipoziona nkazigundua maana uwanja huo tumecheza sn football uwanja unaitwa mabanzin kama hawajaubadili jina
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom