Recent content by chanyaBoy

  1. C

    JamiiForums Tanzania Itazame safu ya bodi na menejimenti ya ACACIA Mining Tanzania kisha utaelewa tatizo liko wapi

    Hapo kwa upeo wangu nadhani wabongo kinachotuponza sehemu nyingi sisi huwa tunapenda shortcut, pia pia tunapenda siasa kwenye kazi, ila wenzetu weupe wapo clear in many aspects, hata kama ana elimu ndogo ila wapo makini sana kusimamia wanachokijua in high level of performances.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nakuuliza mbunge wa Tarime vijijini

    Niunganishe kwenye hilo Group la jimbo la Tarime+0714 430 790
  3. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano inatutenda vibaya watumishi wa umma

    Umeongea point sana ndg yangu. Hongera
  4. C

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya Trump kwa nchi saba, ni funzo katika imani zetu za kidini

    Ofcoz nimekuelewa sana tena sana lazima tuonyeshe Upendo kwa kila imani ya mtu yyte. Sio baadhi ya dini kuonyesha ubora kuliko dini zingine.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Kama uko mazingira rafiki Nunua Eneo ufuge samaki.
Back
Top Bottom