Recent content by Chanya

  1. C

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Jimbo la Kalenga ni tarehe 16 Machi 2014

    taarifa rasmi kupitia Tbc ni CUF hawatosimamisha mgombea huko kalenga tusubiri NCCR
  2. C

    JamiiForums Tanzania Video: ITV News ya UK yapeleleza biashara ya NDOVU nchini, yawarekodi wauzaji bila ya wao kujua...

    mkiambiwa viongozi wa chama chenu majangili hamsikii bado mnawatetea tu kufa na kupona ngojeni siku mkifanywa kama aloyafanya mfadhili wa sam luhanga kwa mfanyakazi wake mwende mkashtaki kwa mtoto wa mkulima badala ya polisi
  3. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Vituo vya mabasi Dubai vyenye A.C, Kweli GAS,OIL Mtwara na Lindi watapata hivyo vituo?

    Lindi na Mtwara watasubiri sana maana wamekubali kuwa upande wa magamba basi acha wafanywe vyovyote vile hata ikibidi wauzwa oman na iran maana gesi wananyonywa,korosho wananyonywa na magamba wanayapa kura tu..watakalia pombe ya mabibo na kushindia mihogo na ufuta wakiwa na tishet zao na kanga...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jaji Lubuva,tafadhali wapuuze wapinzani!

    Ritz naona una hasira na mzee tupatupa kuwa na mawazo tofauti na nyie ee? Tafadhali usimlazimishe kuhamia cdm huyo ni mwenzenu mvumilieni tu. Mbona ninyi mnafurahi mkiona wa hvyo cdm
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lema awashangaza waliokuwa wanambeza!

    ile id ya aminangalo imekufa rasmi jana...mwanamke unamtoroka mumeo wiki 2 kumchafua kamanda sijui kama ndoa yake bado ipo..
  6. C

    JamiiForums Tanzania CCM nasi hakuna kulala

    Mzee Tupatupa ndiye gamba mwenye akili timamu pekee humu Jf wengine wote ni mizigo tu kama Sam Luhanga.
  7. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wabepari iweje leo kusema chama cha wananchi

    kichwa panzi huyu,..usiwe unakunywa supu ya pweza kama mdomo mzito utakufa zikihamia kichwani
  8. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Umeona huyo elton mwenzio alivyo muongo mara santilya mara tungi wakati yupo lumumba kakumbatiwa na Kapuya..
  9. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    We elton hueleweki uko Tungi au santilya?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

    Una uhakika na habari ya hao wanawake kafir mjaa laana weye?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Sitasahau: Baba alikamata "Simbilisi" akidhani "Sungura"

    Simbilisi huwa hawatumii akili zao kabsa wote akili zao huongozwa na unga wa mtama mfano kwenye pori la maxence wamejaa mno
  12. C

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanaomfahamu JK Kwa Karibu: Amewahi Kuwajibika kwa Lipi?

    Sam alimbana mhuni gani? Yule alomuomba pesa za uchaguzi igunga na kumuomba aende kupga kampeni au kuna sam mwingine bwana Simiyu?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanaomfahamu JK Kwa Karibu: Amewahi Kuwajibika kwa Lipi?

    sam wa msoga awajibike!!!....hapana hajawahi na kamwe hatowahi!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa CCM Mbeya: Watumishi wote mkoani Mbeya lazima kuhudhuria

    cc. Msalani,ritz,simiyu yetu na LB7 et al"
  15. C

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    Katika hilo alilosema hebu onyesha uongo uko wapi ukitoa pia maana halisi ya uongo..
Back
Top Bottom