Recent content by chanika moja

  1. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kujitolea kwenye NGO

    Tuwasiliane hili ni wazo zuri sanaa. Big up
  2. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Muongozo wa kuanzisha Chuo kozi za Afya

    Sawasawa boss
  3. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Muongozo wa kuanzisha Chuo kozi za Afya

    Yap Majengo yapo tiyari boss
  4. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Msaada: Muongozo wa kuanzisha Chuo kozi za Afya

    Habarini Wana Jambo hili muhimu. Naombeni msaada wa kupata Muongozo wanamna ya jifungua au kuanzisha CHUO kwa kozi za afya ili nijue taratibu na Sheria za uanzishaji wa kozi hizo.
  5. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba nipate contact zako tufanye biashara boss 0657904156
  6. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ice cream na mtaji wa tsh milioni 4

    Hahahaaa tenaaaaaa [emoji24][emoji24][emoji24]
  7. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ice cream na mtaji wa tsh milioni 4

    Habarini za mchana ndugu zangu Wana jamvi. Ninaomba msaada wa kupata uzoefu na mahitaji yanayo takiwa katika kuanzishia biashara ya Ice cream zenye ubora kwa mtaji wa TSH milioni 4. Nilipo nipo maeneo ya Wilayani ambalo shule ni nyingi zahanati, masoko, na stendi za magari.
  8. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia wafungua kesi Mahakama Kuu kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi.

    Poleni Mimi siwa ungi mkono kabisaaaaaa,
  9. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ben Saanane alipotea kwa sababu hii ya kuhoji ushindi wa fulani

    Fupisha isomeke maana si Kwa urefu huo
  10. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Payoneer ni mbadala halisi wa PayPal!

    Hiyo registration ukigungua haina kitu aiseee
  11. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Waliompiga Lissu risasi watashughulikiwa, asisitiza wapelelezi wa nje hawana uwezo wa kukusanya ushahidi

    Nashangaaa tumekuwa wakali sana ktk hili na kuto iamini serikali, wakati kibiti matukio ya mauaji tulikuwa kimya sana na hakukuwa na ubusy wa watu kuongelea matukio hayo kama hili LA Leo, Mungu ilinde Tanzania ieendelee kuwa ni nchi yenye amani siku zote, AMINA
  12. chanika moja

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kujihusisha sana na Kenya mwisho wa siku mnatarajia kupata nini?

    Nyinyi ndo mmechanganyikiwa
  13. chanika moja

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Alichopitia na anachoendelea kupitia Lissu sio kitu rahisi kwa mtu yeyote kutafakari

    Upumbavu gani mnao usemea nyinyi, mnajuaje kama ni serikali ndio ilio husika au mnaropoka tu
Back
Top Bottom