Isoliwaya wanging'ombe kuna miundombinu safi kuliko hata huko Mkoani NJOMBE ambapo wangeweza kuitumia ile iliyokuwepo na shughuri zingeendelea sema hapa wanataka kuwaandikia watu proposal ya office mpya2
kha!!!! twifwa twilola.
Jamani wana JF huko wanakosema IGWACHANGYA ni kweli panaweza pakawa katikati lakini chakujiuliza panamiundombinu gani kwa wazalendo ambao watahitaji huduma kutoka huko???
Ninavyojua mimi kuja WANGING'OMBE ingekuwa karibu zaidi kwa watu wengi ambao wangehitaji huduma kwa haraka kuliko hapo...
BUNGENI: Mgomo wa madaktari na Sheria ya Bodi ya Mikopo
Asubuhi ya leo Naibu Spika Job Ndugai alitumia kanuni vibaya kuzuia hoja ya dharura bungeni kuhusu mgomo wa madaktari. Kimsingi, sikuwasilisha hoja ila niliomba muongozo wa Spika ili niweze kupatiwa nafasi ya kuwasilisha hoja ya dharura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.